PanguPakavu Amy
Senior Member
- Jul 7, 2007
- 145
- 8
wewe jamaa unaongea upuuzi mtupu, na umetumwa na shetani.angalia, watumishi wengine hao ukiwagusa, unakuwa unagusa mboni ya jicho la Mungu, unaweza ukajikuta unalaaniwa milele, imeandikwa "washindanao na Bwana watapondwa kabisa, Mungu akiwa upande wetu hakuna aliye juu yetu", hivyo ukianza kushindana na mtu wa Mungu, unashindana na Mungu mwenyewe na utapondwa kabisa hakika.
kama wana magari mazuri, waache, unajuaje kama Mungu ndo amewaambia wafanye hivo, ulitaka wavae kandambili zilizotoboka kama mashehe wenu? Mungu anasema mtenda kazi astahili posho lake, akifanyia kanisani, kuna share imewekwa kabisa itakayoenda moja kwa moja kwenye account yako. kama umekuwa na waumini wengi, ina maana share itakuwa kubwa, na unaweza kuitumia vyovyote upendavyo, kuhusu waumini, hakuna hata anayelalamika, huyo anayelalamika ni mnafiki mtumishi wa shetani na hajaokokoka na mwisho wake u karibu. WACHUNGAJI WENGINE wanapewa tu magari hayo. kuna mmoja ana makanisa Japan, yule wa Ubungo, gari alipewa na wajapani, makanisa ya kule yalimnunulia, kama ndo mnamsema yeye, kwasababu yeye ndo mwenye hio gari. ILE GARI ALIPEWA JAPAN, ana branch ya makanisa Korea, Japan na china, na anazungu dunia nzima kama beny hinn, watu wanaopona wanawapa magari na chochote anachotaka. fumba mdomo wako.
ACHA UONGO WEWEEEEE!!!china hakuna DINI,hairuhusiwi mtu kuingia Airport ya China na BIBLIA zaidi ya 2,HAIRUHUSIWI kumhubiria mchina injili ya aina yoyote!Makanisa yamepigwa marufuku,chinese do not observe christianity,there are only few moslems in western part of china named uighurs(tamka wigars),sasa hizo injili huko china alikuwa anamhubiria nani??!!
Tatizo nyie watu mnafikiri kila mtu yupo kariakoo,ukiropoka kwa kuorordhesaha manchi ya watu basi easy ride huh!
Kama huu ndio utetezi wenu,this is extremely fishy.