lol.....Cha ajabu nini askofu kumiliki hammer!!! Mtumishi wa Mungu anakula madhabahuni kwake.
Asante Pretty!Umenena vema kabisa.
Wandugu... kuna ishu nyingine hata siyo za kujadili.
1.Huyo askofu kwanza hajamwibia mtu... amejenga hoja watu wakatoa lile fungu la kumi! Fungu hili huyo mtumishi atawajibishwa na yule aliye juu na siyo wewe na mimi.Tuwashangae wale wanaonunua magari hayo kwa kodi za wananchi badala ya kujenga mabarabara na huduma nyingine muhimu maana uwajibishwaji uko mikononi mwetu wanadamu na hatujaweza kuwawajibisha!
2. Hivi kununua Hummer ni ishu sana ki hivyo? Jaribuni kufanya utafiti muone badala ya kuja hapa na kuonyesha ignorance waziwazi. Kila gari hata kama ina jina kubwa, gharama yake inategemea.Kuna Hummer mpaka za $20,000! sasa unaweza kulinganisha na shangingi la $125,000 na haya ni magari ambayo yapo barabarani thanks to u and me kwa kulazimishwa kulipa kodi.Kodi haitolewi kwa hiari kama fungu la kumi.
3. Watumishi wa Mungu waacheni wawe na maisha yao kama ambavyo wewe na mimi tunatafuta maisha mazuri kwa kazi zetu.Utumishi huo pamoja na kuwa huduma ya kiroho pia ni kazi - lets face it .period!
Sawa, Mkuu. lakini hakuna anayesema kuwa Mtumishi wa Mungu awe masikini. Tunachosema ni kuwa ni vizuri Mtumishi wa Mungu akawa na Kiasi, hata Mungu mwenyewe ameyasema haya. Kuwa na Kiasi.
Hatusemi Watumisghi wa Mungu wasiwe na Uwezo la hasha. Tunachosisitiza ni kuwa na kiasi, neno ambalo hata Mungu mwenyewe ametuasa nalo.
kama jamii nzima inakubaliana kwamba gari la aina ya Hummer ni gari la kifahari, pamoja na mwenzetu kusema ni trekta la kazi, kwa nini mtumishi wetu wa Mungu asiamue kununua Landrover, Toyota Surf na kadhalika??
Anapanda Hummer la mamilioni anakwenda kuhubiri injili wapi, for Heaven's sake??
I have nothing personal against these so called preachers,BUT when they prey on the weak that is when i have something against them.
What kakobe,this hummer Guy,and many others are doing is trying so hard to potray that being a pastor pays as well!
A hummer is a status car,same as a Ferrari,you don't buy a ferrari and complain about Fuel Consumption,the fact that an average hummer MPG is less than 10MPG(4km per liter) says a lot about what type of a car it is.
a Hummer buying person is an attention seeker.just look at that lady on the above picture!PERIOD,do we need these for our religious leaders?!
I hear you PK...and nothing personal....
1.The bottomline is, no one has been robbed of his/her money at gun point!If I am a follower ( meaning i went there of my own free-will) and I contributed in facilitating Kakobe to ride expensive wheels while im treading on my two feet, then the likes of Kakobe should be left alone to face judgement at the end of time.
2.Lets not engage in trivialities - a hummer, ferrari,bentley - it doesnt matter.If it is a status car - its us who gives that interpretation maana mimi binafsi I dont give a hoot kama mtu anaendesha gari gani, anavaa nini au anaishi kwenye nyumba gani.Attention seeker... let him get the attention- so what i would say.
3.Before reading this thread and your post, i never even knew that Kakobe ana baiskeli let alone a Hummer maana kwangu he is just Kakobe doing his business ( yes running a church is a business dont raise eye-brows hahah) kama ambavyo mimi ni Wos naendesha my own business!