Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,550
- 6,062
Askofu mmoja hivi karibuni aktokea Dar akielekea bara, akapita maeneo ya Mlandizi na kumuona Dada mzuri kasimama peke yake akisubiri WATEJA.
Askofu akashindwa kuvumilia na kusimamisha gari na akamfuata na kumwambia
Askofu: Mwandangu, umepotea kabisa njia.
Dada Poa: Ehh, baba Askofu, ina maana sasa hivi huku Maroli hayapiti?