Askofu Alex Malasusa, ashiriki hafla ya kumshukuru Mungu nyumbani kwa Edward Lowassa, Masaki

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
e9826da8-88a5-40d3-af99-74345d651834-620x312.jpg

Edward Lowassa akizungumza na Askofu Alex Malasusa wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri la Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Usharika wa Azania Front, baada ya kuwasili nyumbani kwake Masaki, Dar es Salaam, kushiriki hafla ya kumshukuru Mungu
 
Asanteni kkkt kanisa hili naliheshimu tu kwa sababu niliwakuta wazazi wangu walelewa halo kiroho na likanilea ila ni punguzeni ubinafsi viongozi Wa kanisa LA kkkt n ubaguzi pia matumizi mabaya ya Manisa LA mungu I'm sure mnanielewa maana nina report yenu viongozi Wa dayosisi ya mashariki pwani,inayohusiana na matumizi mabaya ya fedha n rasilimali za kanisa,n ubinafsi uliotukuka.mnawapa baraka walionacho wasionacho mnawafukia kama hamuwaoni hata kwenye tanzia za maskini mnatuma wazee wakanisa angali mkijua tu hakuna kitu pale.mnapenda maisha ya juu n kuwaweka waumini kwenye classes.napita tu ila IPO siku nitawacharukia n thread maalum!!!!
 
Asanteni kkkt kanisa hili naliheshimu tu kwa sababu niliwakuta wazazi wangu wanalelewa nalo kiroho na likanilea ila punguzeni ubinafsi viongozi Wa kanisa LA kkkt n ubaguzi pia matumizi mabaya ya Sadaka na kanisa LA mungu I'm sure mnanielewa maana nina report yenu viongozi Wa dayosisi ya mashariki pwani,inayohusiana na matumizi mabaya ya fedha n rasilimali za kanisa,n ubinafsi uliotukuka.mnawapa baraka walionacho wasionacho mnawafukia kama hamuwaoni hata kwenye tanzia za maskini mnatuma wazee wakanisa angali mkijua tu hakuna kitu pale.mnapenda maisha ya juu n kuwaweka waumini kwenye classes.napita tu ila IPO siku nitawacharukia n thread maalum!!!!
 
Asanteni kkkt kanisa hili naliheshimu tu kwa sababu niliwakuta wazazi wangu walelewa halo kiroho na likanilea ila ni punguzeni ubinafsi viongozi Wa kanisa LA kkkt n ubaguzi pia matumizi mabaya ya Manisa LA mungu I'm sure mnanielewa maana nina report yenu viongozi Wa dayosisi ya mashariki pwani,inayohusiana na matumizi mabaya ya fedha n rasilimali za kanisa,n ubinafsi uliotukuka.mnawapa baraka walionacho wasionacho mnawafukia kama hamuwaoni hata kwenye tanzia za maskini mnatuma wazee wakanisa angali mkijua tu hakuna kitu pale.mnapenda maisha ya juu n kuwaweka waumini kwenye classes.napita tu ila IPO siku nitawacharukia n thread maalum!!!!
jiulize usaidiaje kanisa; wakati una nguvu
wewe na Mh mnatofauti gani zaidi ya kutoushughulisha ubongo wako , ili umfikie.

na wazee ndo watajuka kwa maskIni . mpk mjikongoje MUWE MATAJIRI ; MUNGU HAJUUMBA MATAJIRI
 
Kwahilo la kumshukuru Mungu ni jambo jema!!
Eddo hapo nakuunga mkono!!
Japo utanisamehe kwasababu siamini kama wewe kweli ni kiongozi unayefaa kuiongoza hii nchi!!!
 
Asanteni kkkt kanisa hili naliheshimu tu kwa sababu niliwakuta wazazi wangu walelewa halo kiroho na likanilea ila ni punguzeni ubinafsi viongozi Wa kanisa LA kkkt n ubaguzi pia matumizi mabaya ya Manisa LA mungu I'm sure mnanielewa maana nina report yenu viongozi Wa dayosisi ya mashariki pwani,inayohusiana na matumizi mabaya ya fedha n rasilimali za kanisa,n ubinafsi uliotukuka.mnawapa baraka walionacho wasionacho mnawafukia kama hamuwaoni hata kwenye tanzia za maskini mnatuma wazee wakanisa angali mkijua tu hakuna kitu pale.mnapenda maisha ya juu n kuwaweka waumini kwenye classes.napita tu ila IPO siku nitawacharukia n thread maalum!!!!
Waache wafu wazikane
 
Mh. Lowassa ni mtu wa Mungu na hayo ndio maisha yake.
Kwahiyo jambo kama hili halishangazi.
Tofauti na wengine ukisikia hata kaenda kanisani lazima ushangae.
 
Lazima ashiriki naye kwani Edo kalinusuru taifa kuingia kwenye machafuko makubwa mno..Na hadi kupewa tuzo ya amani si kitu kidogo...Amekubali yaishe ili aendelee kuona taifa liko na Aman...Viva Edo
Eti kalinusuru taifa! how? alipigwa biti akanywea, akawa akawa mpole, na akawa mdogo. angethubutu kuleta za kuleta angeisoma namba
 
matusi na lugha chafu za nn? fungueni uzi wenu kisha mpeane makavu! hapa mnamkosea heshima aliyetoa uzi huu
 
Lazima ashiriki naye kwani Edo kalinusuru taifa kuingia kwenye machafuko makubwa mno..Na hadi kupewa tuzo ya amani si kitu kidogo...Amekubali yaishe ili aendelee kuona taifa liko na Aman...Viva Edo
Hiv alipewa tuzo lini na nani aliitoa..? Kulikuwa na washindani kwenye hiyo tunzo..?
 
Asanteni kkkt kanisa hili naliheshimu tu kwa sababu niliwakuta wazazi wangu walelewa halo kiroho na likanilea ila ni punguzeni ubinafsi viongozi Wa kanisa LA kkkt n ubaguzi pia matumizi mabaya ya Manisa LA mungu I'm sure mnanielewa maana nina report yenu viongozi Wa dayosisi ya mashariki pwani,inayohusiana na matumizi mabaya ya fedha n rasilimali za kanisa,n ubinafsi uliotukuka.mnawapa baraka walionacho wasionacho mnawafukia kama hamuwaoni hata kwenye tanzia za maskini mnatuma wazee wakanisa angali mkijua tu hakuna kitu pale.mnapenda maisha ya juu n kuwaweka waumini kwenye classes.napita tu ila IPO siku nitawacharukia n thread maalum!!!!
Kama unaushahidi funguka hapa hayo matumizi mabaya ya fedha.
 
Lazima ashiriki naye kwani Edo kalinusuru taifa kuingia kwenye machafuko makubwa mno.

Alinusuru machafuko aliyoytengeneza mwenyewe!!!!!!! Unatengeneza machafuko halafu unayanusuru!!!

Kwa taarifa yako alikabwa kila kona kuanzia zile mita 200 ambako kulikuwa na mpango wa kuweka makomandoo wa kulipua vituo vya kupigia kura akabanwa kona.Wanaume wajuao kazi zao walikaba kila kona.Ikabidi akae kimya yeye na Maalim seif wake.Hapo alipo hana hamu na system ya nchi hii.Alidhani kaiweka mfukoni kumbe wapi.
 
Back
Top Bottom