Askari wawili wauawa na majambazi Kongowe

Ni maajabu polisi kukosa bastora!
-mafisadi wanakula bata,wakati watoto wa wenzao wana tii amri na kuuwawa kinyama!
 
Tatizo maaskari wanaokaa kwenye vizuizi huwa wanaanzia viroba kwanza Ndo wanaenda kwenye malindo yao, hapo lazima unyang'anywe siraha.
 
ImageUploadedByJamiiForums1427746677.661892.jpg
 
polisi waliua mtu ILULA wakachekelea, wakamuua kijana huko MISUNGWI wakaona ni sawa tu, sasa leo wamefanywa kitu roho inapenda kwanini wanahisi muwasho.......watulie dawa iwaingie
 
!
!
habari nzuri sana hii. Huyo waliomjeruhi wangemmalizia kabusa. Ahsanteni sana majambazi kwa kunipa zawadi hata kabla ya pasaka. Nawachukia polisi kuliko ninavyomchukia shetani au nyoka. ***** zenu polisi, mfe tu hata wote hasa kova. Mfyuuuuuuuuuuu, yani siwapendi hadi basi. Natamani mfe vufo vibaya mno.

Intelijensia ya polisi inafanya kazi gani hadi tunapoteza askari wetu?
 
Hatari sana hii.......sijui kwa nini imenikumbusha ile video ya yule bwana akisema........walivamia kituo na panga na kuchukua silaha.........?.......je ni yule atakuwa amerudi Kongowe..........?.......
 
Muda mchache uliopita,polisi wawili wameua,mmoja kujaruhiwa,mwingine kala kona kali huko mpakani mkuranga leo usiku.duu!
 
Kuna kitu ndani ya nafsi yako, unahitaji kusikilizwa kuondoa hiyo hali..jeshi letu linahitaji mabadiliko...

!
!
nikisikia jambo baya limemkuta polisi huwa napata faraja mno. Natamani kama wote wafe vifo vya mateso kama hivi au zaidi. Nawachukia mno hawa watu, bora hata shetani mia kuliko polisi mmoja. Team I hate ze mazafaka polis
 
Wadau wengine wanachukukulia haya masuala kirahisi rahisi tu humu ndani.

Tujiulize; hivi hao 'majambazi' wanajiamini nini hadi kuua polisi na kuchukua silaha? Majambazi gani wanaochukua risk ya kuwavamia Askari, kuwaua, kuwapora na kukimbia na silaha? Nijuavyo, jambazi wa kawaida wanakwepa sana kuua hata raia wa kawaida, kuua huwa ni hatua ya mwisho ili kuepuka kukamatwa.

Sasa hawa ni majambazi wa namna gani? Nathubutu kusema hawa sio majambazi wa kawaida, hii ni organised crime, naamini hao majambazi ni kikosi kamili kinachokusanya silaha kwa malengo maalumu.

Nadhani kuna uzembe mkubwa na kutowajibika kwa vikosi vya usalama na kukosa kufanya kazi sawasawa. Vikosi vyetu vya usalama ni kama vile wameweka nguvu zao zote kwenye siasa na kushughulikia mambo ya kisiasa zaidi kuliko kulinda usalama wa raia wote.

Poleni Jeshi la Polisi, poleni ndugu mliopoteza ndugu zenu Askari waliouwawa kikatili hivyo.
 
polisi waliua mtu ILULA wakachekelea, wakamuua kijana huko MISUNGWI wakaona ni sawa tu, sasa leo wamefanywa kitu roho inapenda kwanini wanahisi muwasho.......watulie dawa iwaingie

We chekelea tu,hujui silaha hizo zinaelekea wapi!
 
wewe ni jambazi lazima ufurahie hii na iko siku wamtoe roho mama yako pia ufurahie hivyohivyo pambafu kabisa

!
!
mama yangu kafikaje hapa?.....wewe kuwa na mama anayeliwa uroda na polisi isiwe sababu ya watu wote kumpenda baba ako wa kambo. Polis ni mbwa tu ka mbwa wengine wote. Wala rushwa wakubwa na maadui wa haki walio tayari kukupoteza kwa ajili ya fedha. Kama wewe ni poti mwalim mkuu mama ko.
 
Unaweza kuta hao ni vijana waliomaliza JKT na kukosa ajira sasa wanamua kutumia mafunzo yao kama mtaji.
 
!
!
habari nzuri sana hii. Huyo waliomjeruhi wangemmalizia kabusa. Ahsanteni sana majambazi kwa kunipa zawadi hata kabla ya pasaka. Nawachukia polisi kuliko ninavyomchukia shetani au nyoka. ***** zenu polisi, mfe tu hata wote hasa kova. Mfyuuuuuuuuuuu, yani siwapendi hadi basi. Natamani mfe vufo vibaya mno.

Nakuombea kwa mwenyezi Mungu, majambazi hao,wakuvamie na wakushughulikie, baada ya hapo waamue wenyewe! Aaamin!
 
Dah!hatarii r.i.p polis wetu,wakubwa walishawasahau kuwapa vitendea kazi bora,poleni sana ndugu na jamaa.
 
Attachments

  • 1427747918538.jpg
    1427747918538.jpg
    44 KB · Views: 410
Wadau wengine wanachukukulia haya masuala kirahisi rahisi tu humu ndani.

Tujiulize; hivi hao 'majambazi' wanajiamini nini hadi kuua polisi na kuchukua silaha? Majambazi gani wanaochukua risk ya kuwavamia Askari, kuwaua, kuwapora na kukimbia na silaha? Nijuavyo, jambazi wa kawaida wanakwepa sana kuua hata raia wa kawaida, kuua huwa ni hatua ya mwisho ili kuepuka kukamatwa.

Sasa hawa ni majambazi wa namna gani? Nathubutu kusema hawa sio majambazi wa kawaida, hii ni organised crime, naamini hao majambazi ni kikosi kamili kinachokusanya silaha kwa malengo maalumu.

Nadhani kuna uzembe mkubwa na kutowajibika kwa vikosi vya usalama na kukosa kufanya kazi sawasawa. Vikosi vyetu vya usalama ni kama vile wameweka nguvu zao zote kwenye siasa na kushughulikia mambo ya kisiasa zaidi kuliko kulinda usalama wa raia wote.

Poleni Jeshi la Polisi, poleni ndugu mliopoteza ndugu zenu Askari waliouwawa kikatili hivyo.

Hao huwa hawaokotezi silaha kwa style hiyo.
 
!
!
nikisikia jambo baya limemkuta polisi huwa napata faraja mno. Natamani kama wote wafe vifo vya mateso kama hivi au zaidi. Nawachukia mno hawa watu, bora hata shetani mia kuliko polisi mmoja. Team I hate ze mazafaka polis

Silaha zimeingia uraiani na inawezekana zikaanza na ww;endelea na porojo zako tu
 
Back
Top Bottom