Askari wa uhamiaji hawajalipwa posho ya chakula kwa miezi 2

Coordinator

New Member
May 30, 2016
2
1
ASIKARI WA UHAMIAJI HAWAJALIPWA POSHO YA CHAKULA (RATION ALLOWANCE) KUANZIA APRIL - MAY 2016.

Inashangaza kwa chombo nyeti kama hiki, serikali kuchelewesha kuwalipa pesa zao za CHAKULA zinazowapa mlo wa mchana na usiku pindi wakiendelea kutekeleza majukumu yao ya ulinzi wa taifa hili.

Mbali na hilo majeshi mengine ikiwemo police, jwtz na magereza waneishalipwa.

Hii haileti umoja kwa ASIKARI wetu, matokeo yake lazima wazalauliane mwenyewe kwa wenyewe.

Lakini pia serikali inawaweka katika hali ngumu sana wapiganaji hawa ambao ndio walinzi wa milango ya taifa hili ( MIPAKA).

JE HAPO KUNA UWAKIKA WA ULINZI MIPAKANI.

JPM ANGALIA NA HUKO!!
 
sasa shangaa Naibu Waziri Kipara yupo busy kutaka uhamisho sijuia atawalipa nini wakati posho zinamshinda kulipa..mkiwa na waziri muogo nako ni balaaa
 
ASIKARI WA UHAMIAJI HAWAJALIPWA POSHO YA CHAKULA (RATION ALLOWANCE) KUANZIA APRIL - MAY 2016.
Inashangaza kwa chombo nyeti kama hiki, serikali kuchelewesha kuwalipa pesa zao za CHAKULA zinazowapa mlo wa mchana na usiku pindi wakiendelea kutekeleza majukumu yao ya ulinzi wa taifa hili.
Mbali na hilo majeshi mengine ikiwemo police, jwtz na magereza waneishalipwa.
Hii haileti umoja kwa ASIKARI wetu, matokeo yake lazima wazalauliane mwenyewe kwa wenyewe.
Lakini pia serikali inawaweka katika hali ngumu sana wapiganaji hawa ambao ndio walinzi wa milango ya taifa hili ( MIPAKA).
JE HAPO KUNA UWAKIKA WA ULINZI MIPAKANI.
JPM ANGALIA NA HUKO!!

Unapozungumzia baadhi ya mambo usijaribu kujilinganisha na wengine,unalinganishaje JWTZ,polisi,magereza,uhamiaji!?JWTZ ninavojua mimi ipo ktk wizara tofauti na hao wengine ila polisi,magereza na uhamiaji zipo ktk wizara moja ya mambo ya ndani!!Hivyo mi nafkiri ungejiuliza kwa nn hao walio wizara moja wamepata isipokuwa uhamiaji tu?!ila usilinganishe na alie nje ya wizara yako!Pole lakini!
 
ASIKARI WA UHAMIAJI HAWAJALIPWA POSHO YA CHAKULA (RATION ALLOWANCE) KUANZIA APRIL - MAY 2016.
Inashangaza kwa chombo nyeti kama hiki, serikali kuchelewesha kuwalipa pesa zao za CHAKULA zinazowapa mlo wa mchana na usiku pindi wakiendelea kutekeleza majukumu yao ya ulinzi wa taifa hili.
Mbali na hilo majeshi mengine ikiwemo police, jwtz na magereza waneishalipwa.
Hii haileti umoja kwa ASIKARI wetu, matokeo yake lazima wazalauliane mwenyewe kwa wenyewe.
Lakini pia serikali inawaweka katika hali ngumu sana wapiganaji hawa ambao ndio walinzi wa milango ya taifa hili ( MIPAKA).
JE HAPO KUNA UWAKIKA WA ULINZI MIPAKANI.
JPM ANGALIA NA HUKO!!

Tatizo mojawapo linaloikumba nchi yetu kwa sasa ni kuwaingiza kwenye vyombo vya dola vijana ambao maadili yao yanaacha maswali mengi...Katika nchi yoyote ile kwa kijana au mtu kuingia au kupata nafasi kwenye chombo cha dola, kama jeshi, polisi, uhamiaji na usalama wa taifa ni suala linalochukuliwa kwa uzito mkubwa kimaadili...lakini miaka michache iliyopita vyombo vyetu vya dola vilianza kuingiliwa na ubabaishaji katika ajira kwa kuwaingiza vijana au watu wasiojua maana au umuhimu wa kuwa katika chombo cha dola...Mfano wa vijana na watu wa aina hiyo ni kama huyu anayeleta post hii kwenye social media...suala hili lilipaswa liwasilishwe kwenye ngazi husika ndani ya jeshi lakini yeye anamwaga mchele hadharani akidhani kuwa kuajiriwa katika chombo cha dola ni sawa na ajira ya karani wa halmashauri ya mji...halafu hata elimu yake inatia shaka: Askari anaita ASIKARI; 'wadharauliane' anaita WAZALAULIANE...

Halafu mbaya zaidi anaichukulia nafasi ya RAIS kuwa ni kufanya kila kitu kwa 'kumuagiza' Rais: 'JPM ANGALIA NA HUKO'.

kijana huyu hajui 'system' ya nchi inavyofanya kazi....
 
Kula gwara mkuu..umemaliza kila kitu usishangae huyu baba yake yumo humo humo na kaingia kwa ajira ya upendeleo
 
Back
Top Bottom