Askari wa Suma JKT wachezea kichapo cha nguvu kutoka kwa Machinga na kuokolewa na Polisi, inadaiwa walimjeruhi vibaya Machinga

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,204
4,692
Taarifa Kutokea Maeneo ya mnazi mmoja Jijini Dar es salaam

Inadaiwa tukio hili limetokea asubuhi ya Leo maeneo ya Mnazi Mmoja

Inadaiwa Askari hao walimshambulia na kumjeruhi vibaya Machinga aliyekuwa akipanga bidhaa mbalimbali kwenye kituo Cha mabasi ya kwenda Gongolamboto

Inadaiwa Wananchi walioshuhudia tukio hilo wakiwemo bodaboda walichukizwa na uonevu huo na kuamua kuwatembezea kichapo Askari hao walioamua kukimbilia kituo cha polisi kilichopo maeneo ya jirani ili kuokoa maisha yao

Inadaiwa hadi Sasa zipo.defenda 2 maeneo hayo na wananchi wegoma kuondoka

Inadaiwa hali ni shwali muda huu

Mwenye taaarifa za uhakika atujuze tafadhali
 
Sasa nao wahusika wajitathimini kadri wananchi wanapozidi kuchukua hatua mkononi kwa kile wanachoona ni uonevu zidi yao juu ya vikosi hivi watambue kuwa ipo siku wananchi watachukua hatua hizo hizo kuwaondoa wanasababisha huo uonevu
 
Taarifa Kutokea Maeneo ya mnazi mmoja Jijini Dar es salaam

Inadaiwa tukio hili limetokea asubuhi ya Leo maeneo ya Mnazi Mmoja

Inadaiwa Askari hao walimshambulia na kumjeruhi vibaya Machinga aliyekuwa akipanga bidhaa mbalimbali kwenye kituo Cha mabasi ya kwenda Gongolamboto

Inadaiwa Wananchi walioshuhudia tukio hilo wakiwemo bodaboda walichukizwa na uonevu huo na kuamua kuwatembezea kichapo Askari hao walioamua kukimbilia kituo cha polisi kilichopo maeneo ya jirani ili kuokoa maisha yao

Inadaiwa hadi Sasa zipo.defenda 2 maeneo hayo na wananchi wegoma kuondoka

Inadaiwa hali ni shwali muda huu

Mwenye taaarifa za uhakika atujuze tafadhali
Safi sana hao Ili wqpigwe mpaka wafe,safi sana machinga,Hawa vijana hujifanya Wana mamlaka kuliko majeshi yote,dawa yao,ni kipigo tu
 
Taarifa Kutokea Maeneo ya mnazi mmoja Jijini Dar es salaam

Inadaiwa tukio hili limetokea asubuhi ya Leo maeneo ya Mnazi Mmoja

Inadaiwa Askari hao walimshambulia na kumjeruhi vibaya Machinga aliyekuwa akipanga bidhaa mbalimbali kwenye kituo Cha mabasi ya kwenda Gongolamboto

Inadaiwa Wananchi walioshuhudia tukio hilo wakiwemo bodaboda walichukizwa na uonevu huo na kuamua kuwatembezea kichapo Askari hao walioamua kukimbilia kituo cha polisi kilichopo maeneo ya jirani ili kuokoa maisha yao

Inadaiwa hadi Sasa zipo.defenda 2 maeneo hayo na wananchi wegoma kuondoka

Inadaiwa hali ni shwali muda huu

Mwenye taaarifa za uhakika atujuze tafadhali
Yap, ifikie wakati tuheshimiane

Kama Watanzania tutaendelea na umoja huu, tutajenga Taifa lenye misingi ya kuheshimiana regardless mamlaka tulionayo!
 
Back
Top Bottom