Askari wa Nigeria waua watu "execution style" [Video]

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,481
2,225
Hii video imenitisha sana kusema ukweli.
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=tlpZr8IRUcY[/ame]
 
Duh,jamani hii dunia hebu tuelewane kidogo tuu tuache kuuana kama kuku,hata sijamaliza kuiangalia maana its heartbreaking,lakini nao hao siasa kali waliokuwa executed sishangai nao walifanya same thing,tangu niangalie terror in Mumbai & 911 sina hamu na hizi dini.
 
this is not right,no matter what they did.....kuna sheria kama wamekamatwa sheria ifuate mkondo.
 
This is really sad, how can police officers act like bunch of thugs? ....These are same police officers that ordinary citizens have entrusted to protect and defend them ! I have never seen something like this before, Nigerians should be ashamed of themselves.
 
kweli hawa watu ni barbaric ile mbaya,yaani polisi ndani ya uniform ana execute watu hadharani na sijasikia chochote? hakyanani bongo i cant imagine issue kama hii itokee....sijui wananchi wange react vipi?
 
Ndio matunda ya dini za karne nyeusi za watu waliokuwa wakiishi mapangoni. Leo hii karne ya 21 watu bado wanazikumbatia kwa mikono miwili.
 
kweli hawa watu ni barbaric ile mbaya,yaani polisi ndani ya uniform ana execute watu hadharani na sijasikia chochote? hakyanani bongo i cant imagine issue kama hii itokee....sijui wananchi wange react vipi?


Itokee mara ngapi? hukuwapo enzi za Mwembe_chai? :mad:
 
Jesus!! This is terrible show!!! It is a terrible episode!! Execution of innocent civilians picked at random like that is just not right and not justifiable for any means!!! It is terrible, terrible!! God help Nigerians, help Africans!! I hope authorities will take the required steps for the inhumanity done by the police officers!!!!
 
kha, yaani jamaa walipigwa pingu kisha unalazwa chini kisha unalimwa shaba? mmmmh...inasikitisha!
 
kweli hawa watu ni barbaric ile mbaya,yaani polisi ndani ya uniform ana execute watu hadharani na sijasikia chochote? hakyanani bongo i cant imagine issue kama hii itokee....sijui wananchi wange react vipi?

What happened in Zanzibar, January 2001 , don't you remember ya Mwembechai, Kule Bulihakyulu, kule Kimara, habari ya wachimbaji wadogo wa madini toka Mahenge akina Chigumbi nk?...Haya ni matukio ya kawaida sana kwa askari aliyefundishwa kuua!. There are alot of killings "behind screen" kwa nchi zetu ambazo zinajidai zina amani na utulivu!

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=g7XjFZSSF9Q&NR=1[/ame]
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=vLAOK08gNhY&feature=channel[/ame]
 
Wana JF,
Jana niko nyumbani usiku na watch Aljazeer hiyo habari ikarushwa hewani, ilinitisha sana na mbaya zaidi kundi la kwanza ni wale vijana wadogo watatu walikuwa sio over 18 au 20, Police wanafanya mauaji hadhalani na waliokuwa wanauwawa walikuwa hawana hata silaha wengine ni vilema na magongo, na mauaji yanafanyika mchana kweupe na watu wakipita. yani huyo commanda in-charge lazima afikishwe The Hague bila ubishi.
 
Huu ni unyama tu, hamna cha dini wala nini. Siungi mkono hizo dini za middle east ambazo kila siku haziishi kugombana, lakini mauaji ya aina hii hakuna namna yoyote ya kuyahalalisha.
 
Evidence of this? they just picked people up randomly, no trial no nothing.

Nenda kwenye State husika, utaelewa what they did hawa B H.

Anyway, I don't think a killer needs a trial? The beheaded people is more than tangible evidence.
 
ONYO: Kuna baadhi ya sehemu ya hii video zinatisha. Bonyeza ukijua umeishaonywa.

[ame="http://www.liveleak.com/view?i=e04_1265733780"]LiveLeak.com - Video shows Nigeria 'executions'[/ame]
 
Hii yote ni kwa sababu za tofauti za imani watu wanakuwa na uhasama huo!! Kweli miungu wa kiarabu na kizungu ni balaa kwetu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom