Askari wa MONUSCO washutumiwa Kuwasaidia Waasi wa Serikali ya Congo

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
16,823
2,000


Waasi wa Serikali ya Kabila wamekua wakitumia sare za jeshi tiifu kwa Serikali kiasi kwamba hata Serikali yenyewe inashindwa kujua ni nani muasi nani adui.


Vikundi vya ADF,FDLR,Mauimayi Wote wanatumia Sare za Jeshi tiifu kwa Serikali.

Hawa askari wa UN wakiwa wameshikwa na na mavazi ya jeshi la Umoja wa Mataifa wakishikwa uwanja wa ndege wa Goma wakiwa wamebeba mavazi ya jeshi la Congo

10177245_577023012428464_722292076271121904_n.jpg

10429296_577022829095149_2098247354591225567_n.jpg

Chanzo ni Austere Malivika wa ITV
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom