Askari wa kutuliza ghasia (FFU) analipwa mshahara wa TZS ngapi kwa mwezi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Askari wa kutuliza ghasia (FFU) analipwa mshahara wa TZS ngapi kwa mwezi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by M-pesa, Nov 10, 2011.

 1. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wadau,

  Kwa maoni yangu askari wa kutuliza ghasia anatakiwa alipwe zaidi ya viongozi wao wanaokaa maofisini na kutoa amri. Hii ni kutokana na risk (hatari) wanazokumbana nazo wawapo kazini.
  Inatakiwa wapewe marupurupu mengine ya ziada, mfano usafiri binafsi wa kutembelea, makazi bora yaliyopo sehemu salama, mikopo yenye riba ya chini n.k.
  Nitashangaa sana kama ni kweli wanalipwa si zaidi ya TZS 250,000 kwa mwezi kama baadhi ya watu wanavyodai. Hii ni fedha ambayo katu hailingani na kazi ya kuwapiga waandamanaji wanazidi kuchochea vuguvugu la kujikwamua na hali ngumu ya maisha.
  Tafadhali mwenye kufahamu mishahara yao atujuze ili tujue namna ya kuwasaidia nao waboreshewe.
   
 2. B

  BOKO HAARAM Member

  #2
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waboreshewe kwa lipo wacha wale p-m-u zao,wajinga hawa watu tunaandaa mabadiliko halaf wao wanatupiga mabom ya machozi na maji ya pil pil .ushauri labda waasi masi ndio tutawaunga mkono,mnaogopa nin nyie mbona jeshi jwtz lilihasi mwaka 1964 na dktt mwl akajificha siku mbili..!
   
 3. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,127
  Likes Received: 3,315
  Trophy Points: 280
  Wanalipwa shs 80,000/=
   
 4. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Askari wa FFU halipwi hata senti moja. Hawa ni kama wale askari wa makanisani ukichanganya na watawa wa kike na wakiume, ni nani anaewalipa na wanafanya kazi zote uzijuazo.

  Ule ndio utumwa wa kiakili na kila kitu, Slaa aliustukia.
   
 5. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Duh! Juhudi zote za kunyanyasa raia, kumbe wanaambulia TZS 80,000/=? Kweli askari wa Tanzania ni kama robot.

   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  wenzenu wakipewa mabuti na mahelmeti wanaona rahaaaaa, yaani wanasahau kabisa kuwa simu zao hazina muda wa hewani wa kuongea na ndugu zao waliobaki Nyantira Musoma
   
 7. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #7
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kichwani kwako kuna ubongo au ugali? Mnalala mnamuota Rais mliyemchakachua,kwa taarifa yenu watanzania wote wanafahamu kilichojiri mwaka jana.

   
 8. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #8
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahaaaaaaaaaaaa. mnawalipa nini wale? siku hizi na wao wanajuwa kuchakachuwa wanaiba ile mbaya.
   
 9. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,127
  Likes Received: 3,315
  Trophy Points: 280
  ha ha! Kweli kabisa.
   
 10. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #10
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,356
  Trophy Points: 280
  mi nataka wasilipwe hata senti
   
 11. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #11
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Watazidi kuwabambikizia raia Kesi.
   
 12. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #12
  Nov 10, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hawa jamaa baada ya mshahara, pia wana ziada- mfano akimpiga mtu rungu la kichwa anapata shs. 200 akipiga mtu ngwara akagaragara chini anaongezwa 500 akimrusha mtu kwenye gari akalazwa lupango anaongezwa shs985 unaonaje kazi nzuri eeenh ndio maana wanachangamka kweli.
   
 13. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #13
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Akiua raia mmoja, Je, analipwa bei gani?

   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Nov 10, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  nyota moja
   
Loading...