M mzee wa njaa JF-Expert Member Jun 16, 2011 1,366 223 Oct 1, 2011 #21 Na bado ukiona hivyo watu wamesha choka sana na udhalimu huo.....Bora wananchi waamue moja tu kukataa wanafiki.
Na bado ukiona hivyo watu wamesha choka sana na udhalimu huo.....Bora wananchi waamue moja tu kukataa wanafiki.
imma.one JF-Expert Member Sep 10, 2011 542 37 Oct 1, 2011 #22 Ebwana ee e nimeipenda sana ili wajue utamu wa yale mabomu ya machozi wanaturushiaga pale viwanja vya jangwani dar. Walizani ni asali yale maji?
Ebwana ee e nimeipenda sana ili wajue utamu wa yale mabomu ya machozi wanaturushiaga pale viwanja vya jangwani dar. Walizani ni asali yale maji?