Askari wa JWTZ aliyeuawa makao makuu alituhumiwa na muuaji kutumwa kuiba silaha

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,661
Mwendesha mashtaka wa serkali katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu ameimbia mahakama kuwa mauaji ya askri wa JWTZ aliyeuwawa mwaka2017 ndani ya makao makuu ya jeshi aliuwawa kwa kuhisiwa ametumwa na Siro kuiba silaha.

Japo hakutajwa ni Siro gani ila muuaji ambaye siku ya tukio alikuwa zamu aliwatuhumu askari hao ambao walikuwa wamefika makao makuu hayo kuchukua kibari cha mgonjwa kuwa wameenda hapo kiuiba silaha.

"Muuaji alifoka kwa sauti ya ukali huku akisema mmetumwa na Siro mje kuiba siraha"muuaji ambaye ni askari wa zamu alisikika akisema kabla ya kikosi maalumu kumdhibiti.

Chanzo: Mwananchi

USSR
IMG-20210103-WA0014.jpg
 
Aisee, sio bure mtu awe lindo kisha aanze kuhisi askari wenzake wametumwa na SIRO kuiba silaha, kutakua na mengi nyuma ya pazia.

Unfortunately hatutoyasikia.
Hamna mengi huo ni ugonjwa wa akili.

Baba mwenye nyumba ana binti yake ana hilo tatizo siku vikimpanda utasikia "Hapa hakuna cha mrema wala mahakama ole wenu mniguse"
 
Hamna mengi huo ni ugonjwa wa akili.

Baba mwenye nyumba ana binti yake ana hilo tatizo siku vikimpanda utasikia "Hapa hakuna cha mrema wala mahakama ole wenu mniguse"
LOooo, haya nayo maneno!

Na huyo "baba mwenye nyumba" mwenyewe je?
 
Back
Top Bottom