Askari wa JWTZ aliyefariki Tanga Azikwa

Mimi Silindwi Na Wanajeshi Wenu Bali Nalindwa Na Malaika Wa Mwenyezi Mungu Na Najilinda Mwenyewe Pia Sawa? Mbwiga Mkubwa Weye! Wao Ni Nani Wasife? Tena Nawalaumu Mno Hao Sijui Majangili au Magaidi Kwa Kuua Tu Huyo Mmoja Kwani Mimi Nilitaka Wawaue Wote Ili Wakome. Battle Ndogo Tu Hiyo Tunahanya hanya Na Kuhangaika Je Zingine Zitakuwaje? Mr. Misifa Wenu Mwakibolwa Mbona Hajaenda Sasa Huko Amboni Tanga? Mnadhani Magaidi Ni Sawa Na M23? Hivi Kama Wewe Una Akili Na Unajifanya Unayajua Masuala Ya Medani Za Kivita Ambaoni Tanga Ni Kwa Kuwapeleka Wanajeshi? Kulikuwa Na Ugumu Gani? Ndiyo Maana Na Wao WAMETUSAMBAZIA UPENDO Kwa Ku Mdedisha Huyo Mjeda Kwani Na Wao Walikurupuka Na Wakome Siku Nyingine.

Kwa kweli wewe bwana unatakiwa kupimwa akili, haijakaa sawa hata kidogo. Kuwa mwehu sio lazima uokote makopo, kuna dalili nyingi na hii ya kwa ko ni moja wapo katika zile kubwa. Nimekusamehe. Najua na watanzania wengi waekusamehe. Labda wewe ni mmojawapo wa wadudu wale waliokuwa pangoni, nahisi maana dalili zote zinanipeleka huko. Kawaambie waliokutuma, kwamba Tanzania ni rahisi kuingia lakini sio rahisi kutoka na uhalifu wako. Kama unabisha kamuulize Kaburu a Afrika Kusini Peter Bother na FW Clark. Damu ya Askari huyo mtaendelea kuilipa mpaka tone la mwisho. Subiri. Popobawa wewe mburula usiyejua umuhimu wa askari.
 
Je CDF General Mwamunyange alihudhuria mazishi hayo?

Mimi jana 16/02/15 kupitia ITV nimemuona Commander In Chief of the Armed Forces Prof. Jakaya Kikwete akihudhuria mazishi ya Chief Adam Sapi Mkwawa huko Kalenga.
 
Ina aminika silaha zilizoibwa Polisi na kutumiwa na magaidi feki wa CCM pale Tanga zilijibadilisha kutoka silaha nyepesi kuwa nzito na kulazimu kuita Jeshi la Wananchi lije na silaha nzito!! ha ha ha ha !! CCM bwana~!
Halafu pamoja na wanajeshi hao kuwa wengi sana, wana mizinga, helikopta hadi vifaru ila magaidi wachache wenye yebo yebo na mapanga na ak 47 wawatoe jasho hadi leo na kuwaua na kujeruhi wanajeshi kadhaa. Sijasikia gaidi aliyeshikwa.

Basi polisi na jeshi ni hopeless kabisa.
 
Nashangaa sana...hadi hakuna hata Tv iliyoshuhudia...hakuna mtu aliyekufa hapa...ni siasa za kikuda tu hizi
 
Kwani huyu ndiye mwanajeshi wa kwanza kufariki?

Wote huwa mnahudhuria misiba yao? Acheni ushabiki wa kitoto.

Huyu Amefariki kwenye front line...uwanja wa mapambano

Mbona waliofariki sudan tuliona
Waliofariki Congo tuliona
Waliofariki Uganda tuliona

Kwa nini huyu aliyefariki kwa kutunguliwa na "Al Shabab" hatujaoneshwa?
 
Ina aminika silaha zilizoibwa Polisi na kutumiwa na magaidi feki wa CCM pale Tanga zilijibadilisha kutoka silaha nyepesi kuwa nzito na kulazimu kuita Jeshi la Wananchi lije na silaha nzito!! ha ha ha ha !! CCM bwana~!

safari ya ccm imewadia
byebye CCM
 
Kwani huyu ndiye mwanajeshi wa kwanza kufariki?

Wote huwa mnahudhuria misiba yao? Acheni ushabiki wa kitoto.
kulingana na hii script ya amboni ilitupasa tuonyeshwe behind the scene. kwani mbona hata zile za mwigulu dhidi ya Lwakatare tuliona kwanini hii tusione
 
Huyu Amefariki kwenye front line...uwanja wa mapambano

Mbona waliofariki sudan tuliona
Waliofariki Congo tuliona
Waliofariki Uganda tuliona

Kwa nini huyu aliyefariki kwa kutunguliwa na "Al Shabab" hatujaoneshwa?

Mbona umepaniki sana hii inaonyesha hizo ni sinema za ccm
 
kwa kweli wewe bwana unatakiwa kupimwa akili, haijakaa sawa hata kidogo. Kuwa mwehu sio lazima uokote makopo, kuna dalili nyingi na hii ya kwa ko ni moja wapo katika zile kubwa. Nimekusamehe. Najua na watanzania wengi waekusamehe. Labda wewe ni mmojawapo wa wadudu wale waliokuwa pangoni, nahisi maana dalili zote zinanipeleka huko. Kawaambie waliokutuma, kwamba tanzania ni rahisi kuingia lakini sio rahisi kutoka na uhalifu wako. Kama unabisha kamuulize kaburu a afrika kusini peter bother na fw clark. Damu ya askari huyo mtaendelea kuilipa mpaka tone la mwisho. Subiri. Popobawa wewe mburula usiyejua umuhimu wa askari.

anayejibishana na chizi na yeye ni chizi zaidi
 
anayejibishana na chizi na yeye ni chizi zaidi
Wewe nae!!! Kwani daktari anapojibizana na kichaa naye ni kichaa? Kuchukuliana mizigo ni muhimu kwa kuwa sisi sote ni machizi ila tunatofautiana levels. Unadhani wewe ndio uko salama? Binadamu wote machizi tu, tafakari na uchukue hatua. Huyu bwana ni advanced chizi. Anapaswa kusaidiwa sio kununiwa. Vinginevyo aataozea mapangoni kwa wenzake kule Amboni.
 
bawacha viumbe wa ajabu sana sijui hata huko nyumbani mnaishi vipi na familia zenu hasa waume.

Polisi walichemka na jeshi pia lilichemka....naipenda nchi yangu naishia hapo sipendi kuweka msmbo yote hadharani mnisamehe sana...
 
Back
Top Bottom