Askari wa jeshi la zimamoto viwanja vya ndege wafanya kazi katika mazingira magumu

M

mgini

New Member
Joined
Dec 14, 2013
Messages
2
Points
0
M

mgini

New Member
Joined Dec 14, 2013
2 0
Waheshimiwa mawaziri wa wizara husika [UCHUKUZI NA MAMBO YA NDANI] tunawaomba mtuokowe, Mvutano uliyopo kati ya ofisi ya kamshina wa zimamoto na mkurugenzi wa mamlaka ya viwanja vya ndege unatufanya tushindwe kufanya kazi katika hari ya ufanisi, kutokana na mambo mengi kuzolota kiutendaji. Kuna uduma ambazo tulikuwa tunazipata kutoka mamlaka ya viwanja ndege, lakini kamishina alizifuta huduma izo kwa madai kuwa atazitowa yeye lakini mpaka leo hakuna kinachoendelea juu ya uduma izo. Cha kusikitisha tangu tuhamishiwe ofisi ya kamishina hatujawai kulipwa pesa ya likizo lakini askari wenzetu wa manispaa wamekuwa wakilipwa pesa za likizo kutoka ofisi ya kamishina, hari hii inatuvunja nguvu kabisa ikizingatia sote tupo idara moja lakini sisi tunabaguliwa. Pia tangu mwezi wa tatu mwaka huu hatujawai kukatwa pesa kwa ajili ya kuchangia mifuko ifadhi za jamii [PSPF] tumekuwa tukipeleka malalamiko yetu ofisi ya kamishina bila kufanyiwa kazi. Hari hii imepelekea tushindwe kukopa pesa katika taasisi za fedha kwa kwasababu hatutambuliki, lakini askari wenzetu wa manispaa wanatambulika na mikopo wanachukuwa kwani wao wamekuwa wakichangia mifuko izo. Hari hii inaonesha jinsi gani ofisi ya kamishina ahitusamini kabisa sisi askari wa viwanja vya ndege, vitendea kazi vyenyewe vimekuwa vinatolewa kwa ubaguzi, hakuna hata siku moja tuliwai kupata hata unifom wala zana za kazi kutoka kwa kamishina lakini askari wenzetu miji wamekuwa wakipewa kutoka kwa kamishina. Hatujui sisi tupo wapi kiutendaji, WAHESHIMIWA MAWAZIRI TUNAOMBA SANA UTUNUSURU KWANI ASKARI TUNA HARI MBAYA SANA NA TUNAOMBA MTUTEMBELEE VIWANJANI TUNA KERO NYINGI SANA TENA SANA
 
S

SAIZI YANGU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2013
Messages
381
Points
195
S

SAIZI YANGU

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2013
381 195
Tena sisi wa hapa Morogoro ni tabu tupu. Wakubwa wetu wanakula wanagawana hela za huduma itolewayo kama stika za fire za magari na ukaguzi wa majengo. Hatuna sare na vifaa. Nasikia kuna naibu Kamishna mwanjeshi huko Makao Makuu, tunaomba uje uone uozo huu.
 
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined
Sep 1, 2011
Messages
3,235
Points
1,195
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined Sep 1, 2011
3,235 1,195
Kama askari wa uwanja wa ndege hathaminiwi, sijuwi hao wengne itakuwaje. Poleni sana.
 
M

mdabulo

Member
Joined
Feb 17, 2012
Messages
52
Points
70
M

mdabulo

Member
Joined Feb 17, 2012
52 70
Tena sisi wa hapa Morogoro ni tabu tupu. Wakubwa wetu wanakula wanagawana hela za huduma itolewayo kama stika za fire za magari na ukaguzi wa majengo. Hatuna sare na vifaa. Nasikia kuna naibu Kamishna mwanjeshi huko Makao Makuu, tunaomba uje uone uozo huu.
Nyie wa morogoro mnamajungu na ftina sana acheni moto uwawakie kwanza ili mpate akil. Msalimie Awadh mwambie mwisho wa ubaya aibu kama yaliyomkuta Simba vile. Msalimie na bosi wako aliyemwaga oil chafu barazani kwake.
 
MinMash

MinMash

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2012
Messages
313
Points
195
MinMash

MinMash

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2012
313 195
Kwa manung'uniko haya ile hamu ya kujiunga na jeshi la zimamoto imefika ukingoni leooooo!! Hata niitwe interview siendi!! duh Maskini
 
Immortal_MH

Immortal_MH

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2013
Messages
1,232
Points
2,000
Immortal_MH

Immortal_MH

JF-Expert Member
Joined May 14, 2013
1,232 2,000
hebu rudia ulichoandika naamini utarekebisha baadhi ya maneno
 
MinMash

MinMash

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2012
Messages
313
Points
195
MinMash

MinMash

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2012
313 195
Waheshimiwa mawaziri wa wizara husika [UCHUKUZI NA MAMBO YA NDANI] tunawaomba mtuokowe, Mvutano uliyopo kati ya ofisi ya kamshina wa zimamoto na mkurugenzi wa mamlaka ya viwanja vya ndege unatufanya tushindwe kufanya kazi katika hari ya ufanisi, kutokana na mambo mengi kuzolota kiutendaji. Kuna uduma ambazo tulikuwa tunazipata kutoka mamlaka ya viwanja ndege, lakini kamishina alizifuta huduma izo kwa madai kuwa atazitowa yeye lakini mpaka leo hakuna kinachoendelea juu ya uduma izo. Cha kusikitisha tangu tuhamishiwe ofisi ya kamishina hatujawai kulipwa pesa ya likizo lakini askari wenzetu wa manispaa wamekuwa wakilipwa pesa za likizo kutoka ofisi ya kamishina, hari hii inatuvunja nguvu kabisa ikizingatia sote tupo idara moja lakini sisi tunabaguliwa. Pia tangu mwezi wa tatu mwaka huu hatujawai kukatwa pesa kwa ajili ya kuchangia mifuko ifadhi za jamii [PSPF] tumekuwa tukipeleka malalamiko yetu ofisi ya kamishina bila kufanyiwa kazi. Hari hii imepelekea tushindwe kukopa pesa katika taasisi za fedha kwa kwasababu hatutambuliki, lakini askari wenzetu wa manispaa wanatambulika na mikopo wanachukuwa kwani wao wamekuwa wakichangia mifuko izo. Hari hii inaonesha jinsi gani ofisi ya kamishina ahitusamini kabisa sisi askari wa viwanja vya ndege, vitendea kazi vyenyewe vimekuwa vinatolewa kwa ubaguzi, hakuna hata siku moja tuliwai kupata hata unifom wala zana za kazi kutoka kwa kamishina lakini askari wenzetu miji wamekuwa wakipewa kutoka kwa kamishina. Hatujui sisi tupo wapi kiutendaji, WAHESHIMIWA MAWAZIRI TUNAOMBA SANA UTUNUSURU KWANI ASKARI TUNA HARI MBAYA SANA NA TUNAOMBA MTUTEMBELEE VIWANJANI TUNA KERO NYINGI SANA TENA SANA
Wale wenye nia na hamu ya kujiunga huku naomba mzingatie hili
 
muhomakilo jr

muhomakilo jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Messages
10,839
Points
2,000
muhomakilo jr

muhomakilo jr

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2013
10,839 2,000
Nakumbuka wafanyakazi wenyewe wa Zimamoto kwa kushawishiwa na viongozi ndiyo walioomba kujitoa TAA ili warudi wizarani,waliambiwa kwamba pesa wanayolipa Airline inatosha kuboresha mishahara yao na posho zao,sasa imekuaje tena kamishna anashindwa kuwalipa kama alivyoahidi?,da mmeingizwa chaka kwa kweli msalimie Marembo mmoja waliokuwa mstari wa mbele katika kudai kujitenga.
 
M

Mkuki

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2010
Messages
364
Points
195
M

Mkuki

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2010
364 195
Tena sisi wa hapa Morogoro ni tabu tupu. Wakubwa wetu wanakula wanagawana hela za huduma itolewayo kama stika za fire za magari na ukaguzi wa majengo. Hatuna sare na vifaa. Nasikia kuna naibu Kamishna mwanjeshi huko Makao Makuu, tunaomba uje uone uozo huu.
Acheni majungu na masufulia huyo naibu kamishina aliyetoka jeshini anaijua fire huyo aliletwa na nchmbi kwa nn msimuombe kamishina mpaka Muandike eti kamishina msaidizi aliyetoka jeshini huo ni uongo na uzushi cc askari tupo fit huyu naona Katumwa na wapambe
 
S

SAIZI YANGU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2013
Messages
381
Points
195
S

SAIZI YANGU

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2013
381 195
Wewe ndiyo umetumwa na huyo Kamishna. Huoni hali ilivyo mbaya, unadhani sisi hatujui jinsi huyo Mwanjeshi anavyowashughulikia waovu wote? Unadhani hatujui jinsi mnavyomtenga sasa. Suala kaletwa na nani sisi halituhusu, sisi tunachotaka maslahi tutachapa kazi. Tunahitaji wanajeshi kama kumi na tano ili wasaidie kunyoosha Zimamota, bila hivyo hali ya kwenda kwenye tukio bila maji litaendelea kuwepo.

Acheni majungu na masufulia huyo naibu kamishina aliyetoka jeshini anaijua fire huyo aliletwa na nchmbi kwa nn msimuombe kamishina mpaka Muandike eti kamishina msaidizi aliyetoka jeshini huo ni uongo na uzushi cc askari tupo fit huyu naona Katumwa na wapambe
 
MinMash

MinMash

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2012
Messages
313
Points
195
MinMash

MinMash

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2012
313 195
hivi mafunzo awali kwa askari wa zima moto yanafanyika wapo?
 
Forum statistics

Threads 1,326,865
Members 509,632
Posts 32,237,553
Top