Askari Polisi waandika barua kwenda kwa Waziri Lugola wakimtuhumu OCD Serengeti kutembea na wake zao, wachumba zao na kuomba rushwa

Sasa hapo kosa la ocd au wake zao? Wakati mwingine huwa naona Tanzania hizi ndoa ni kama kulazimishana tu, hivi kweli Mke wako anasex na Mwanaume mwingine halafu unakwenda kumlalamikia mwingine? WTF!
Matumizi mabaya ya madaraka mkuu, think outside the box!
 
Hao askari ni wajinga sana, unakwenda kumshitaki OCD huku una bunduki imejaa risasi? Kwanini wasitandike za kichwa ili akafanyie umalaya huko ahera? Wao wamebaki kutumwa tu kwenda kuwafanyia ukatili wapinzani huku wake zao wakipewa virus kwa ajili ya njaa zao.
Eheeeeeee..
Hata mie nilitaka kusema hivyo hivyoooo
Yani mtu kila mara umeshikilia bomba halafu mtu mmoja anawanyanyasa na kuwagongea wake zenu anavyotaka na nyie mnamuangalia tu!!!

WTF!
 
kwa sheria za jeshi, mkubwa wako aliekuzidi cheo, hata akikukuta uko bar na mke wako mmekaa, inabidi usimame, umpigie saluti na umpishe akae na mkeo, hakuna kuhoji, askari wa kike hakuna kukataa chochote utakachoombwa na mkubwa wako.
Hii Sheria ni ya jeshi la wapi hii!!
 
Sasa hapo kosa la ocd au wake zao? Wakati mwingine huwa naona Tanzania hizi ndoa ni kama kulazimishana tu, hivi kweli Mke wako anasex na Mwanaume mwingine halafu unakwenda kumlalamikia mwingine? WTF!
acha kujibu kwa hisia,muda mwingine kaa kimya kama vitu huvijui,,,,,, kwa kanuni na taratibu za kijeshi ni kosa kubwa sana askari kutembea na mke wa askari mwenzio,ni kosa kubwa sana na ikithibitika unaweza ukapoteza kazi,hizo kanuni na taratibu zipo ili kukuokoa wewe uliyetembea na mke wa askari mwenzio,hebu fikiria watu ambao vitendea kaz vyao ni bunduki,awe anaushahidi wa kuwa flani anatembea na mke wake,mawazo yakimbadilika unadhani nn kinaweza kutokea???hapo ili kuepusha mengi wabamterminate aliyezini na mke wa mwenzie kumwepusha na dhahma zinazoweza kumkumba,,,,,hizo skendo ni tofauti na zenu civilians ambazo zinaishia kwa balozi wa nyumba kumi,kijeshi hiyo ni tuhima nzto
 
Moja ya sheria za kijeshi ni "kosa askari kutembea na mke wa askari mwenzake au mke wa raia yoyote au kutembea na mtoto wa askari mwenzake." akijulikana askari anafukuzwa kazi bila hata kujadili.

Hii ikitekelezwa naamin wengi watafukuzwa...
Wamezoea kubebwa maana wengi wanatumia vyeti bandia...
 
kwa comment hizo apo juu ....inadhiirisha jf imevamiwa asee.

NI kosa kubwa kijeshi kutembea na mke/mume wa mwenzio !!
Hatua stahiki huchukuliwa dhidi yao? Kuna mmoja nilimuona pale ngudu ocd alikuwa na tabia hiyo jamaa alipogundua ocd anasarandia mali yake alimpa makavu baada ya hapo jamaa alitupwa selo na amri ikatolewa pamwagwe maji. Jamaa alikuwa insp aliyetumwa kuja kumkamata alikuwa koplo.
 
Hao askar wasihangaike na sheria bunduki wanazo kulinda usalama wa RAIA na Mali zao wazitumie vyema tu
 
Hatua stahiki huchukuliwa dhidi yao? Kuna mmoja nilimuona pale ngudu ocd alikuwa na tabia hiyo jamaa alipogundua ocd anasarandia mali yake alimpa makavu baada ya hapo jamaa alitupwa selo na amri ikatolewa pamwagwe maji. Jamaa alikuwa insp aliyetumwa kuja kumkamata alikuwa koplo.
Kwa polisi sijui sana but hata uamisho unaeza kutumika kama adhabu pia
ila upande huu utamwagiwa kinyesi matope na utasindikizwa hadi maingate haijalishi umeamishwa au umefukuzwa
 
Mathew Mgema ni rafiki yangu sana na tuliingia nae Polisi na kufanya nae kazi Central Dar,hakubebwa na Baba yake kuingia Polisi ni kwamba alikuwa na sifa maana aliingia akiwa amemaliza Kidato cha Sita,Baba yake alifariki akiwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza miaka ya 2000/2001,ngoja nimtafute hewani nimuulize kuhusu kashfa hizi
 
Itakuwa ni wewe mwenyewe
 
Sasa hapo kosa la ocd au wake zao? Wakati mwingine huwa naona Tanzania hizi ndoa ni kama kulazimishana tu, hivi kweli Mke wako anasex na Mwanaume mwingine halafu unakwenda kumlalamikia mwingine? WTF!
Tatizo huna akili ndo maana hujaelewa point ya hao askari, mbona Kila kitu kipo wazi tu, huyo OCD anatumia cheo chake kuwanyanyasa hao askari, hawajasema kuwa wanalazimisha ndoa
 
Back
Top Bottom