Askari Polisi wa Usalama Barabarani hamuwezi kufanikiwa kwa kuwadhulumu wananchi

Hakuna kusimama labda waweke barrier........
Wanaume wa dar bwana we unaona mkono tu unasimamisha basi utakuwa mgonjwa sio bure!
 
Ila ofcourse wana mazuri Yao pia ambayo binafsi nayakubali Kama swala la kudhibiti mwendo kasi kwe kutumia matochi hili Mimi nawaunga mkono na mguu pia! Madereva wengi wa bongo wanakasumba ya kupenda kwenda mwendo kasi ambao ni hatari kwao wenyewe na third parties! Na ule ubinafsi wa kupenda kutanua barabarani na kujiona Mtu yeye anaharaka kuliko wenzio siyo vizuri! Mimi kiukweli nawaambiaga Watu ingekuwa uwezo wangu Hawa trafiki wawepo kila baada ya mita chache barabarani ili kuwakomesha wale wenye hulka ya mwendo kasi, madereva wengi wanaendesha Gari anachojua ni kukanyaga mafuta tu na bleki za kustukiza yani ukimuuliza gafla Vipi uko speed ya ngapi hajui, ni ajabu sana!
we fala kweli inaonekana hata gari hujawahi kumiliki labda unaendeshaga gari la dadako. Hakuna dereva anayeendesha gari yake halafu awe rough Kama unavyosema. Umeniudhi mshenzi wewe
 
Mi nliingia nikalipishwa fine gari yangi ilipata pancha gafla nikaenda kwa fundi anibadilishie trye na spea tyre nikakuta haina upepo coz sijawahi itumia toka ninunue gari, basi kwa vile fundi hakuwa na comprressor, ikabidi aniazime tairi yake, ikiwa kipara njiani jamaa wakanipiga mkono nikawambia napeleka kuziba nimepata dharura na spea tair haina upepo. Aisee jamaa wakanipiga fain. Siku hiyo nlitukana mpaka mkuu wao wa kituo wakanitishia kuniweka ndani, maana nlikuwa central. Wakasema kosa langu ni kutojua kama spea tairi ina upepo. Trafiki nikamwambia next time ukinipiga mkono nakuua kwa kukugonga. Na sitanii siku akijidanganya kuninyoshea mkono nampiga tairi
 
wewe waijua suku yako ya kufa..??? acha jazba..mkuuu
 
Back
Top Bottom