Askari Polisi wa Kikosi cha FFU, afikishwa mahakamani kwa tuhuma za kubaka

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,486
Jeshi la Polisi mkoani Arusha limemkamata na kumfikisha mahakamani chini ya ulinzi mkali askari, polisi wa kikosi cha kutuliza ghasia FFU Rafaeli Paulo kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi mwenye wa kidato cha sita wenye umri wa miaka kumi na sita.

Akisoma shitaka namba 13 ya mwaka 2016 hakimu wa mahakama ya wilaya ya Arusha Jasmini Abduli amesema mnamo tarehe 16 mwezi Januari mwaka huu 2016 mtuhumiwa Rafaeli Paulo mwenye umri wa miaka 25 alimbaka mwanafunzi wa kidato cha sita mwenye umi wa miaka 16 ambalo ni kosa kinyume na kifungu cha 130 kifungu kidogo cha kwanza na cha pili na kifungu cha 131cha makosa ya jinai sura ya 16.
ad37f89a7c85ba8268a49e6588876279.jpg


Chanzo: ITV
 
Back
Top Bottom