Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?

Mmebakia kukosoa tu wasukuma. Mbona kauli za dikteta magufuli mlikuwa hamzikosoa,,mlikuwa mnajifanya watu wamemnukuu vibaya Rais"**
Kwani Jiwe aliposema, "..Eti mtu anakuja na wapambe kituo cha Polisi na mwinhine anakuja na kwaya! Hivi CDF wanweza kuja jeshini hivyo..? Niambie nani tena nchi hii alijaribu kufanya upuuzi huo?
 
Wote tumesikia kutoka kwa Mh Rais alipokuwa anaongea na Wanaoitwa Wazee wa Dar es Salaam kuhusu kuongezeka kwa matukio ya ujambazi Jijini Dar es Salam na vitongoji vyake (maana Jiji ni Ilala tu) ambapo Mh Rais amemuagiza IGP kulishughulikia jambo hilo na kulikomesha haraka huku akiagiza yule askari aliyehamishwa ambaye ni mahiri kwenye kukomesha majambazi arejeshwe .

Ni askari yupi huyo aliyehamishwa na sasa anatakiwa kurejeshwa ili kudhibiti ujambazi? Ni nani alimhamisha na kwa sababu zipi?
Mama sasa anataka kuniweka wakati mgumu mimi na familia yangu. Asingenitaja. Nimelisha shaba majambazi kadhaa. Am fakin scared.
 
Back
Top Bottom