Askari Polisi auwawa na jambazi sugu huko Tarime | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Askari Polisi auwawa na jambazi sugu huko Tarime

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KIBURUDISHO, Jul 28, 2011.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 955
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Nikiwa Mwanza mtaani maeneo ya bandarini nimeiona gari ya polisi ikiwa imefika ikiwa na mwili wa marehemu tayari kwa usafiri wa meli wa saa nne usiku kwenda Bukoba.Kwa bahati nzuri kati ya askari waliokuwa katika gari ile kulikuwa na askari mmoja ninae mfahamu tulisalimiana na kumuuliza wapi wanakotoka na wanakokwenda.Akaniambia wanatoka Serengeti wanaelekea Bukoba na aliyefariki ni askari mwenzao aliyemtaja kwa jina moja la Upendo(kiume) wa kituo cha polisi cha Mugumu Serengeti na alikutwa na mkasa huo jana usiku maeneo ya huko Tarime alipigwa risasi ya shingoni walikokuwa wamekwenda kumkamata jambazi sugu.
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mmmmmhh! Kweli hali shwari hata kidogo TZ ye2. Lkn hata maaskari wame2malizia ndg wengi wasio na hatia. Lkn nasema poleni sana ndg,jamaa na hata marafiki ktk wakati mgumu wa majonzi kama hii.
   
 3. Esperance

  Esperance JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Polen maaskari, ndio maana sasa hivi mkakati ni kuwauwa majambaz tu hakuna cha mahakaman wala nini. Juz wameuawa 6 biharamulo kwa kigezo cha kurushiana risas na polisi.
   
 4. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Poleni sana. Wapi hasa?
   
 5. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hizi habari zinatisha lakini!
   
Loading...