Askari wa polisi amempiga kwa fimbo ndugu Joel Francis Donald jijini Mwanza mwenye umri wa miaka 30 anaefanya kazi za ulinzi, alimfungia ndani ya nyumba yake na kumpiga mpaka kuwa mahututi na kukimbizwa hospitali ambako mauti yalimkuta, kamanda Justice Kamugisha alithibitisha kutokea kwa tukio hilo.
Januari mosi askari alikuwa na madai ya kuacha wallet na kumuuliza muhusika lakini hakua na majibu hivyo kuamua kuchukua maamuzi ya kumpiga fimbo, Askari huyo yuko mahabusu kwa mahojiano.
Tukio hili limetokea Mwanza, na askari huyo ni wa kituo cha Mbwa na Farasi, Mabatini.