Askari Polisi Afa Maji Akimkimbiza Mtuhumiwa

Mkuu huyu askari ni kweli katumia nguvu kuliko akili.Kwanza hili tukio limetokea siku zimeshapita kidogo lbda taarifa zimechelewa tu kuwafikia.

Ni kama wiki na siku kadhaa zimepita kuna mzee aliibia vitu vyake stationary na wezi walikamatwa saa moja asubui tena na huyu huyu askari marehemu akiwa na askar mwenzake.

Sasa ungekuepo ungeona jinsi huyu marehemu alivyokua akitumia nguvu nyingi kuliko akili.Hao wezi walikua kwanza bado ni watoto lakini jinsi marehemu alivyokua anavyo walazimisha wakubali kuwa wameiba ungewaonea huruma hao wezi.

Aliwapiga sana tena sisi raia tukishuhudia mpaka dogo mmoja alizirai kwa kipigo.siku hata hazijapita nyingi tunapata habar kuwa Afande kavuta baada ya kujarbu kuwa fukuza wakokosi.

Inaonekana huyu marehem alikua anafanya kazi kwa mihemko au ndo tabia yake ya hasira.
Basi Haya ndo matokeo yake.
 
Habari mbaya na kuhuzunisha

Gazeti la Mwananchi linaripoti kuwa Askari Polisi nchini Tanzania afande Isaya Kawogo amefariki.dunia akiwa kwenye harakati za kumkimbiza ili kumkamata mtuhumiwa wa uhalifu

Tukio hilo limetokea Mwisenge Musoma wakati Askari huyo akijaribu kumkamata mtuhumiwa huyo wa Ujambazi aliyejitosa ziwani na polisi huyo aliamua kumfuata na kwa bahati mbaya alinasa kwenye nyavu na kuzama majini kwenye Ziwa Victoria

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara RPC Longinus Tubushibwamu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo

Taarifa zaidi itatolewa na Jeshi la Polisi

=======

Musoma. Askari polisi, Isaya Kawogo amefariki dunia baada ya kuzama katika Ziwa Victoria wakati akimkimbiza mtuhumiwa wa ujambazi.

Hayo yameelezwa leo Ijumaa Mei 28, 2021 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibishubwamu akibainisha kuwa tukio hilo limetokea eneo la Mwisenge manispaa ya Musoma.

Amesema askari huyo pamoja na wenzake wakiwa doria walikutana na mtuhumiwa huyo na kuanza kumkimbiza.

“Yule mtuhumiwa alijitosa ziwani na askari aliamua kumfuata huko huko ziwani lakini akiwa katika harakati za kumkamata alinasa kwenye nyavu na kuzama. Mtuhumiwa alifanikiwa kuimbia,” amesema kamanda huyo.

Chanzo: Mwananchi
kufa kazini pole kwa familia
 
Kachero haji na Ispector Haji..

R.I.P Kamanda... Amedanja kishujaa akiwa kazini...
 
Nataka kujua Kiwango chake cha ushiriki kwenye kupora kura zetu wkt wa uchaguzi kikoje kabla sijakomenti zaidi
 
Amesema askari huyo pamoja na wenzake wakiwa doria walikutana na mtuhumiwa huyo na kuanza kumkimbiza.

“Yule mtuhumiwa alijitosa ziwani na askari aliamua kumfuata huko huko ziwani lakini akiwa katika harakati za kumkamata alinasa kwenye nyavu na kuzama. Mtuhumiwa alifanikiwa kuimbia,” amesema kamanda huyo.
Huwa wanalipwa risk allowance hawa kweli?
 
Mbona unaandika kinyonge hivo mshahara ni wa kawaida,kazi ya jeshi ni ngumu aaee!inahitaji morali aaee!siyo kama polisi aaaee pushup kwenye godoro!aeee!
Wewe mchumba usituaminishe uongo wkt uhalisia tunaufahamu.
 
Katika dini zote sio ukristo sio uislam mwenyezi mungu anasistiza watu wafanye kazi wapate halali yao kwa maana ya riziki zao.. mwenyezi mungu katika al Quran Kareem suratul jumaa asema na itakapokwisha swala tawanyikeni katika ardhi mkatafute fadhira za mwenyezi mungu pia hata katika biblia mwenyezi mungu asema atafutae hupata pamoja na wosia wote huu bado utakuta muhumini anadharau kazi ya mwenzake, anyways tuachane na hayo labda nikuulize wewe ndugu yangu ambae kwa namna moja au nyingine kuna kazi unaziona hazina maana kwako ni sawa maana sio dhambi wala haram mtu kuwa na vipaumbile vyake katika jambo flani yaani mfano sio haram mtu kuwa na kipaumbile cha kusomea medicine na asiwe askari wala mwalimu lakini tuwe na adabu tusione kama vipaumbele vyetu(kazi zetu) ni bora zaidi au muhimu zaidi kuliko kazi za watu wengine, mtu anakula anakula halali yake afu wewe unaizungumzia kazi yake kwa ubaya kama vile ni kazi flani haram hivi au isiyofaa hivi sio kitu kizuri kwakweli, pengine kwenye maisha yako ya kila siku wamuitajia zaidi huyo askari kuliko hata huyo unaemuona ni mbora zaidi au ndio kazi bora zaidi kulingana na mtazamo wako...hufai kudharau halali mtu pia sio haram mtu kuwa na vipaumbile vyako..
 
Katika dini zote sio ukristo sio uislam mwenyezi mungu anasistiza watu wafanye kazi wapate halali yao kwa maana ya riziki zao.. mwenyezi mungu katika al Quran Kareem suratul jumaa asema na itakapokwisha swala tawanyikeni katika ardhi mkatafute fadhira za mwenyezi mungu pia hata katika biblia mwenyezi mungu asema atafutae hupata pamoja na wosia wote huu bado utakuta muhumini anadharau kazi ya mwenzake, anyways tuachane na hayo labda nikuulize wewe ndugu yangu ambae kwa namna moja au nyingine kuna kazi unaziona hazina maana kwako ni sawa maana sio dhambi wala haram mtu kuwa na vipaumbile vyake katika jambo flani yaani mfano sio haram mtu kuwa na kipaumbile cha kusomea medicine na asiwe askari wala mwalimu lakini tuwe na adabu tusione kama vipaumbele vyetu(kazi zetu) ni bora zaidi au muhimu zaidi kuliko kazi za watu wengine, mtu anakula anakula halali yake afu wewe unaizungumzia kazi yake kwa ubaya kama vile ni kazi flani haram hivi au isiyofaa hivi sio kitu kizuri kwakweli, pengine kwenye maisha yako ya kila siku wamuitajia zaidi huyo askari kuliko hata huyo unaemuona ni mbora zaidi au ndio kazi bora zaidi kulingana na mtazamo wako...hufai kudharau ya halali mtu pia sio haram mtu kuwa na vipaumbile vyako..
 
Habari mbaya na kuhuzunisha

Gazeti la Mwananchi linaripoti kuwa Askari Polisi nchini Tanzania afande Isaya Kawogo amefariki.dunia akiwa kwenye harakati za kumkimbiza ili kumkamata mtuhumiwa wa uhalifu

Tukio hilo limetokea Mwisenge Musoma wakati Askari huyo akijaribu kumkamata mtuhumiwa huyo wa Ujambazi aliyejitosa ziwani na polisi huyo aliamua kumfuata na kwa bahati mbaya alinasa kwenye nyavu na kuzama majini kwenye Ziwa Victoria

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara RPC Longinus Tubushibwamu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo

Taarifa zaidi itatolewa na Jeshi la Polisi

=======

Musoma. Askari polisi, Isaya Kawogo amefariki dunia baada ya kuzama katika Ziwa Victoria wakati akimkimbiza mtuhumiwa wa ujambazi.

Hayo yameelezwa leo Ijumaa Mei 28, 2021 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibishubwamu akibainisha kuwa tukio hilo limetokea eneo la Mwisenge manispaa ya Musoma.

Amesema askari huyo pamoja na wenzake wakiwa doria walikutana na mtuhumiwa huyo na kuanza kumkimbiza.

“Yule mtuhumiwa alijitosa ziwani na askari aliamua kumfuata huko huko ziwani lakini akiwa katika harakati za kumkamata alinasa kwenye nyavu na kuzama. Mtuhumiwa alifanikiwa kuimbia,” amesema kamanda huyo.

Chanzo: Mwananchi
Inaonyesha huyo Jambazi ramani yote ya Ziwa na wapi Nyavu zipo na jinsi ya Kuzitambuka ili asinase anajua tofauti na Polisi ( Marehemu ) ambaye alikurupuka tu na analijua Ziwa Victoria Kimazoea ambapo na lenyewe pia limemzoea Kimoja hadi Kaburini.
 
Habari mbaya na kuhuzunisha

Gazeti la Mwananchi linaripoti kuwa Askari Polisi nchini Tanzania afande Isaya Kawogo amefariki.dunia akiwa kwenye harakati za kumkimbiza ili kumkamata mtuhumiwa wa uhalifu

Tukio hilo limetokea Mwisenge Musoma wakati Askari huyo akijaribu kumkamata mtuhumiwa huyo wa Ujambazi aliyejitosa ziwani na polisi huyo aliamua kumfuata na kwa bahati mbaya alinasa kwenye nyavu na kuzama majini kwenye Ziwa Victoria

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara RPC Longinus Tubushibwamu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo

Taarifa zaidi itatolewa na Jeshi la Polisi

=======

Musoma. Askari polisi, Isaya Kawogo amefariki dunia baada ya kuzama katika Ziwa Victoria wakati akimkimbiza mtuhumiwa wa ujambazi.

Hayo yameelezwa leo Ijumaa Mei 28, 2021 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibishubwamu akibainisha kuwa tukio hilo limetokea eneo la Mwisenge manispaa ya Musoma.

Amesema askari huyo pamoja na wenzake wakiwa doria walikutana na mtuhumiwa huyo na kuanza kumkimbiza.

“Yule mtuhumiwa alijitosa ziwani na askari aliamua kumfuata huko huko ziwani lakini akiwa katika harakati za kumkamata alinasa kwenye nyavu na kuzama. Mtuhumiwa alifanikiwa kuimbia,” amesema kamanda huyo.

Chanzo: Mwananchi
Pumzika kwa amani mwana mwema wa mamaTanganyika! Poleni wafiwa
 
Back
Top Bottom