Askari Polisi Afa Maji Akimkimbiza Mtuhumiwa

Tukio hilo limetokea Mwisenge Musoma wakati Askari huyo akijaribu kumkamata mtuhumiwa huyo wa Ujambazi aliyejitosa ziwani na polisi huyo aliamua kumfuata na kwa bahati mbaya alinasa kwenye nyavu na kuzama majini kwenye Ziwa Victoria
 
Askari gani huyo akili hana...

Si angebaki tu ufukweni apige doria kumsubiri jamaa, maana kama kaingia majini ni lazima ingefika muda angerudi tu nchi kavu...
 
Hapo alikua ameshawaza akimkamata ampe Hata buku tano tu wayamalize
 
Kwa sisi ambao tumekaa karibu na Ziwa ile tu kuzama majini kumfata mtuhumiwa kilikuwa kifo tayari...
 
Mijamaa ya kanda ya ziwa yanavyoamini ushirikina watakwambia ni Mganga wa jambazi kafanya mambo.
 
Tukio hilo limetokea Mwisenge Musoma wakati Askari huyo akijaribu kumkamata mtuhumiwa huyo wa Ujambazi aliyejitosa ziwani na polisi huyo aliamua kumfuata na kwa bahati mbaya alinasa kwenye nyavu na kuzama majini kwenye Ziwa Victoria
jamaa kama aliwai kuwa mvuvi huwezi mpata kizembe hvyo jamaa wanaya jua maji
 
Tatizo askari wanahimizwa kutumia nguvu kila mahala badala ya kutumia nguvu na akili.
Kweli .maana unaweza kuta ataa sio mwizi aliokuwa akimkimbiza .kuna raia wengine wana aleji na polisi doria .kutokana na dhahama inayotolewa na polisi wanapo washika .anyway R.i.p polisi wetu
 
Back
Top Bottom