Elections 2010 Askari Mkutano Wa Slaa - Ulinzi Au Tafakari?

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
IMG_2047.JPG

Wana JF;

Kwa wale walio makini katika kusoma "Body Language": Je ni ujumbe gani tunaupata kutoka kwa Walinzi hawa wa amani waliokuwepo katika Mkutano wa Kampeni za Urais wa Dr. W.P. Slaa uliofanyika Mwembetogwa Iringa?
 
Hao kwenye LAND ROVER kushoto ni CCM na hao wa kwenye LAND CRUISER kulia ni CHADEMA....huyo wa kati na red berret anawaomba wenzie wa CCM wahamie CHADEMA
 
Mwanagalie uyo aliyeshika tama naona itakauwa ni wakati Dr Slaa anasema Askali najua mumepigika na mishahara yenu ya laki mbili kwa mwezi ndo maana mwaishia kudai rushwa ili kusustain maisha yenu
 
img_2047.jpg

wana jf;

kwa wale walio makini katika kusoma "body language": Je ni ujumbe gani tunaupata kutoka kwa walinzi hawa wa amani waliokuwepo katika mkutano wa kampeni za urais wa dr. W.p. Slaa uliofanyika mwembetogwa iringa?

hata hao wenzetu wamepigika kikweli kiweli, mabosi wao ndio wanafaidi tuu. Kinachotakiwa wapinzani wayazungumze matatizo yao pia kwa mapana na marefu katika kampeni hizi ili na wao waweze kutumia kuchanganya maaagz na akili zao kama ambavyo jakaya aliwataka wafanyakazi wachanganye ushauri wa mgaya na akili zao.
 
IMG_2047.JPG

Wana JF;

Kwa wale walio makini katika kusoma "Body Language": Je ni ujumbe gani tunaupata kutoka kwa Walinzi hawa wa amani waliokuwepo katika Mkutano wa Kampeni za Urais wa Dr. W.P. Slaa uliofanyika Mwembetogwa Iringa?

Uzuri ni kwamba kwa kuhudhuria hiyo mikutano taratibu ujumbe wanaupata!!!! Si unaona jinsi wanavyo-concetrate!!

Chagua Dr. Silaa 20101.
 
IMG_2047.JPG

Jamani, hao ni watu wenye hisia, just like you and me!..They equally feel the pain of life-hard-knocking!...Mind you, hata kama yeye amekula kiapo, lakini kuna wanae,shangazizake, wakweze na jamaa zake ambao anajua wanateseka MNO NA HIKI CHAMA TAWALA!
 
Dr.Slaa anatakiwa ajikite kwa undani kuwaelimisha askari umuhimu wa mabadiliko ya utawala.Ajitahidi kuelezea how will the interest of soldiers be protected by the coming government
 
Superman nimekubali kweli unahisia...

Kwanza, mi naona wengi wa hao jamaa (askari) hawaamini kinachoendelea hapo, yaani kwa kifupi hawakutazamia msisimko mkubwa na mwitikio wa kimageuzi unaoonyeshwa na wananchi waliohudhuria hapo.

Pili, nadhani wanajaribu kutafakari ujasiri wa Rais mtarajiwa kwa jinsi anavyodiriki kuanika uozo wa serikali iliyopo madarakani bila woga. si unamuona yule mmoja kwenye gari la kulia ambaye hajavaa kofia jinsi alivyopanua mdomo na kutoa macho kwa kushangaa..

Tatu, nadhani wengi wao wanajaribu kutafakari kula yao itakuwaje baada ya Oct-31-2010.

Nne, nadhani kila mmoja sasa anaomba mungu wake ili matokeo yasichakachuliwe maana nguvu ya umma hawataweza kuikabili kirahisi .....
 
hata hao wenzetu wamepigika kikweli kiweli, mabosi wao ndio wanafaidi tuu. Kinachotakiwa wapinzani wayazungumze matatizo yao pia kwa mapana na marefu katika kampeni hizi ili na wao waweze kutumia kuchanganya maaagz na akili zao kama ambavyo jakaya aliwataka wafanyakazi wachanganye ushauri wa mgaya na akili zao.

Ndio maana CCM washtuka na kuona polisi wameelewa somo la Dr. Slaa; hivyo wamekimbilia JWTZ ambako wanawapa favour ingawaje hali si shwari - Shimbo atatoa wapi maelezo ya bil. 155.
 
Na wenyewe mwaka huu hawadanganyiki,siku ya kupiga kura itakuwa kama enzi zile uwanja wa taifa unaruka ukuta chini kuna askari ana act kama ankukimbiza, unamrushia sh 10 anaachana na wewe.
 
Back
Top Bottom