BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,198
Mimi ni mtumiaji wa barabara ya Nyerere kwa miaka mingi kuna uzembe mkubwa pale mataa Tazara kwa tunaopita alfajiri (11:00-11:45 asubuhi).
Askari wanachelewa kufika na taa za solar zinakuwa hazifanyikazi motokeo inakuwa vurugu ya ujanja kuwahi.
Spidi hii ya JPM inahitaji kila mtu ajiongeze,najua maboss wenu wamo humu JF wawakumbushe mnatukera sana tunaowahi kwenda makazini.