Askari Magereza walaamurishwa kuhudhuria kampeni za Jk | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Askari Magereza walaamurishwa kuhudhuria kampeni za Jk

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by nsami, Oct 19, 2010.

 1. n

  nsami Senior Member

  #1
  Oct 19, 2010
  Joined: Jun 11, 2010
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana nilikuwa maeneo ya shinyanga, nilibahatika kuhudhuria mkutano wa kampeni wa Dr Slaa! Pembeni yangu kuna jamaa flani tunabadilishana mawazo kuhusu hali ya siasa huku tukisubir Dr kuanza kumwaga sera.

  Baada ya mazungumzo akanipa alichoita siri kuwa "nakwambia ndugu yangu, siku alipokuja JK askari wote pamoja na wafungwa wanaokaribia kumaliza muda wao tuliamuriwa kuvaa kiraia ili tuhudhurie mkutanoni" alisema kwa Dr Slaa hawakupata amri hiyo!
   
 2. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ya kweli hayo? au ndo kampeni zenyewe!
   
 3. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Interesting.... Kujaza watu sio?
   
 4. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Kwa sisi m lolote lawezekana
   
 5. L

  Lubaluka JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 496
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hayo yote ni ya kweli, CCM wanafanya hayo mambo kama kawaida. Katika mashule na hata ofisi za serikali..
   
 6. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  :jaw:
   
 7. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hizo ndizo fitina za kisiasa!rafu za kijinga,tutafika kweli!
   
 8. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  :mmph:
   
 9. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo wamepata msamaha wa rais hawa?
   
 10. n

  nsami Senior Member

  #10
  Oct 19, 2010
  Joined: Jun 11, 2010
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio kama wamepata msamaha, ila inaaminika kuwa wafungwa wa muda mrefu wanao karibia kumaliza muda wao hawawezi kutoroka kwa sababu adhabu watakayokabiliwa nayo ni kubwa kuliko kubaki na kumalizia kifungo chao.
   
 11. n

  nsami Senior Member

  #11
  Oct 19, 2010
  Joined: Jun 11, 2010
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haswaa!
  Ila kwa bahati mbaya kwa mujibu wa afande huyo walikuwepo kimwili tu roho yao iko kwa Dr Slaa!
   
 12. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Ama kweli, hawa mabwana wana mbinu nyingi za kushinda. Safari hii tutazaa nao mapacha
   
Loading...