Askari maarufu mitaa ya Dar es Salaam

Na kabla sharp kulikuwa na polisi mmoja anaitwa jitu la mhogo alisumbua sana
Ukiwa mtu wa mazabe purukushani ya watu kama hawa kawaida tu
Sema jitu la mhogo alikuwa anapenda hela sana naye alishavuta

Ova
Kuna mwingine zakaria alikuwa morogoro naye alikuwa balaa
 
Alikuwa muelewa Sana Kuna bro angu alidakwa na askari wengine kipind yupo msimbaz huyo mkamasharp alitusaidia kumtoa kabla hajahamishiwa kuja kinondon

Ila alikuwa na sifa sifa fulan za kutaka aogopeke
Mitaa ya tandale pia kulikuwa na polisi mmja ana mbioo balaa,zamani alikuwa mcheza mpira akaingia upolisi walikuwa wanamuita
Amunike,wahuni huko wanamjua vzr
Sema naye alivutaaa

Ova
 
Mitaa ya tandale pia kulikuwa na polisi mmja ana mbioo balaa,zamani alikuwa mcheza mpira akaingia upolisi walikuwa wanamuita
Amunike,wahuni huko wanamjua vzr
Sema naye alivutaaa

Ova
hahaha umenikumbusha mbalii Sana amunike tulikuwa tunamwita mzee wa upepo
 
Huyu Mkama sharp alikuwa na mbwembwe kwenye mechi Taifa mpaka anaonekana burudani kuliko hata mpira wenyewe.
 
Mkama alikuwa anafanya kazi yke kiuweledi
Hakosei
Koba si bondia yule ubabe mwingi

Ova
Kulikua na mechi Faru dume Vs Kagela ranger,koba akamfata muhalifu wake uwanjani'Kabla ajamvesha bangili akampiga kwanza ngumi ya mbavu changa,jamaa akatepeta kisha ndo akamvesha bangili.
Jamaa anapiga ngumi heavy weight nakoz zimetuna kama yai,lazima utepete.
 
Wakati nauza sim za deal azam pale mjini
Alinichkulia sana sim
Koba alikuwa boxer mzuri tu

Ova
 
Wakati nauza sim za deal azam pale mjini
Alinichkulia sana sim
Koba alikuwa boxer mzuri tu

Ova
Ukiacha uskari wake pia alikua,mwanamasumbwi mzuri alafu mtemi.
Askari+vitasa+mtemi hapo lazima achukue simu yako tu.
 
Kutana na kamanda Mkama sharp askari aliepata kuwa maarufu mitaa ya dar es salaam miaka ya 1980-1999.

Jamaa alikuwa na uwezo wa kukamata vibaka 30 kariakoo naakawapangisha foleni uku wakielekea kituo cha polisi wenyewe yeye yupo nyuma.na a alikuwa akisimamia ulinzi uwanja wa taifa sasa uhuru alikuwa anapanda kwenye farasi alafu ana mbwa na mabomu ya machozi kiunoni na rungu mkononi
FB_IMG_1620513138844.jpg
 
Kutana na kamanda Mkama sharp askari aliepata kuwa maarufu mitaa ya dar es salaam miaka ya 1980-1999. Jamaa alikuwa na uwezo wa kukamata vibaka 30 kariakoo naakawapangisha foleni uku wakielekea kituo cha polisi wenyewe yeye yupo nyuma.na a alikuwa akisimamia ulinzi uwanja wa taifa sasa uhuru alikuwa anapanda kwenye farasi alafu ana mbwa na mabomu ya machozi kiunoni na rungu mkononi

View attachment 1778082
Huyu Mwamba alikuwa Mzee wa shughuli ile mbaya. Usiombe kukutana naye, kwanza mikwara kibao. Maana alikuwa anakuwa na pingu, bastola, mbwa na farasi pia.
 
Kutana na kamanda Mkama sharp askari aliepata kuwa maarufu mitaa ya dar es salaam miaka ya 1980-1999. Jamaa alikuwa na uwezo wa kukamata vibaka 30 kariakoo naakawapangisha foleni uku wakielekea kituo cha polisi wenyewe yeye yupo nyuma.na a alikuwa akisimamia ulinzi uwanja wa taifa sasa uhuru alikuwa anapanda kwenye farasi alafu ana mbwa na mabomu ya machozi kiunoni na rungu mkononi

View attachment 1778082
Mwisho wa siku tunamkumbuka..
 
Back
Top Bottom