Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,240
- 9,527
Kumekuwa na utaratibu ambao umezoeleka wa askari wetu kutoka kwenye vyombo vya habari na kujisifia kua wameua majambazi!
Binafsi sifurahii hii picha askari wanayoitoa, sijui wewe!
Tunajuaje kama hawa ni majambazi kweli?
Au ukishaitwa jambazi na askari tayari unakua jambazi!
Mahakama ni ya nini kama askari wanatoa hukumu wenyewe?
Utaratibu huu ukiachwa uendelee, yeyote kati yetu na siku yoyote anaweza kuitwa jambazi na kupigwa risasi za kutosha!
Askari anaposema ameua jambazi ni nani mwingine anayeenda kuchunguza kuhakiki kama aliyeuawa ni jambazi?
Hizi roadside justice zinazotumika kupandisha watu vyeo, sikumoja zitatupoteza.
Kama askari amepata taarifa kuwa kuna uhalifu unataka kutokea, kwanini asimkamate mshukiwa na kuepusha uhalifu kabla haujatokea?
Kwanini ajipange tu kuua?
Kuna tabia katikati yetu hazipaswi kupewa nafasi!
Ukatili na kuhalalisha mauaji katija awamu hii ni moja ya vitu vinavyoshusha heshima yetu kama taifa!