Askari huyu wa JWTZ akamatwe na kushtakiwa kwa kosa la ujangili

Nakumbuka mwaka 2020 aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla alimtuhumu aliyekuwa Meya wa Iringa kuwa ametenda kosa la ujangili baada ya kupakia picha kwenye mtandao wa Twitter akiwa amemuua nyoka aina ya chatu. Zaidi soma Dtk. Kigwangalla amtuhumu Alex Kimbe kwa ujangili baada ya kuua chatu

Leo nimekutana na video ikimuonesha Askari wa JWTZ akiwa anajinadi kwa kumuua nyoka mkubwa aina ya chatu. Ukimsikiliza vizuri utagundua kwamba nyoka huyo hakuwa katika mazingira ya kuleta madhara yoyote kwa binadamu, ni kwamba alikuwa katika mazingira yake ya maisha ya kila siku. Kitendo cha Askari huyo kumuua bila sababu za msingi si kitu cha kufumbia macho.

Nyoka mkubwa kama yule anachukua muda mrefu kufikia ukubwa ule, na pia anapitia katika mazingira hatari tokea kuanguliwa ikiwa pamoja na kuwindwa na wanyama wengine hatari. Anapoweza kukabiliana na hatari zote mpaka kufikia ukubwa ule ni suala la kushukuru.

Huyu Askari angetumia busara hata kuwaita maafisa wanyama pori waje kumchukua, mnyama kama huyu ni kivutio kikubwa sana cha utalii, anaweza akaleta mapato makubwa sana akiwekwa kwa snake park

1. Unapotosha taarifa. Askali amesema huyo chatu alikuwa kwenye maeneo yake ya kufanyia kazi na alikuwa amejiandaa kushambulia (alikuwa anawinda)
2. Kigwa unayetaka aigwe wewe mwenyewe binafsi unajua fika huyo ni mwana mipasho.
3. Dahamira yako mwenyewe inakushuhudia kuwa unachomoa pumba za kutosha.
4. Kama unajiona mwema basi tenda wema. Ukilipiza kwa dhambi unakosa moral authority ya kumsema mwingine kuwa kakosea.

5. Tuna maada kubwa ya maana ,nayo ni KATIBA. Ugomvi wako na kigwa usitupotezee forcus.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ana ugomvi na kigwa pili anachukia jwtz maybe mjeda m1 kapita na manzi yake
 
Ni hadi ameze mtoto ndipo mseme angemuua. Kumbuka huyo sio kiumbe rafiki hata kidogo na alipokuwepo kuna naingiliano ya karibu na watu. Wewe ni kati ya Ndezi wanaokosoa kila jambo
Tumetofautiana akili mkuu, ndezi Aina hii tunaita ndezi mnoko, watu wanatetea joka wakati afande mwenyewe angejichanganya kidogo zingebaki buti
 
Natafakari huwa hamtoi Povu kiasi hiki kwenye wanyama wengine. Tena wengi tu wanakufa. Leo nyongo imewatoka kisa NYOKA. UNAWEZA KUWA NA ROHO YA KICHAWI na SHETANI Bila kujijua
Jibu hoja mkuu na bila shaka nawe una file pale Mirembe,ukatili wa wanyama ni wa kishenzi,ukija kwangu na ukamfanyia ukatili mbwa au paka wangu nitakurudisha kwa njia iliyokuleta faster
 
Nakumbuka mwaka 2020 aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla alimtuhumu aliyekuwa Meya wa Iringa kuwa ametenda kosa la ujangili baada ya kupakia picha kwenye mtandao wa Twitter akiwa amemuua nyoka aina ya chatu. Zaidi soma Dtk. Kigwangalla amtuhumu Alex Kimbe kwa ujangili baada ya kuua chatu

Leo nimekutana na video ikimuonesha Askari wa JWTZ akiwa anajinadi kwa kumuua nyoka mkubwa aina ya chatu. Ukimsikiliza vizuri utagundua kwamba nyoka huyo hakuwa katika mazingira ya kuleta madhara yoyote kwa binadamu, ni kwamba alikuwa katika mazingira yake ya maisha ya kila siku. Kitendo cha Askari huyo kumuua bila sababu za msingi si kitu cha kufumbia macho.

Nyoka mkubwa kama yule anachukua muda mrefu kufikia ukubwa ule, na pia anapitia katika mazingira hatari tokea kuanguliwa ikiwa pamoja na kuwindwa na wanyama wengine hatari. Anapoweza kukabiliana na hatari zote mpaka kufikia ukubwa ule ni suala la kushukuru.

Huyu Askari angetumia busara hata kuwaita maafisa wanyama pori waje kumchukua, mnyama kama huyu ni kivutio kikubwa sana cha utalii, anaweza akaleta mapato makubwa sana akiwekwa kwa snake park

Unamuacha chatu....halafu usiku unapangiwa doria maeneo hayohayo.....kigwa acha zako
 
Naunga mkono hoja 100%
 
Mkuu unajifanya una huruma na nyoka, acha unafki tumeshateua hamna nafasi tena
 
Ndio maana watalii wote wanaeenda kenya, sababu hakuna wajinga wa kuuwa vivutio kama hivi.
wacha waende tu hatuwezi kukaa na nyoka hata mtaani wakikuita wewe nyoka ni hatari sana
Mungu alisharuhusu nyoka wauawe na wao wakapewa wakitufuma watugonge
haya madude yaueni tu hakuna cha Utalii hapo waende Brazil au Kenya Twiga na TheBig Five wanatosha
 
😂😂😂Huu uzi haya majibizano naishia kucheka tuu,

Pumbavu kabisa hili ng'ombe, eti ndio ushujaa, Mavi kabisa hii mijitu
lilikuwa linamkimbiza huyo nyoka alikuwa anapita na zake

kama kesi zipo hivo wengi wetu ni majangiri..mimi binafsi nilishaua nyoka wengi tu wanaovamia nyumbani.

Wewe ni Mporipori, akili zako na zangu haziwezi kuafikiana kutokana na mifumo tofauti yetu kimaisha

Vivutio vya utalii viko tele hapa nchini wewe unahangaika na chatu mmoja.
Kwanza Watanzania hatuyapendi majoka

jaribu kula ata ya nyoka mdogo au kenge huta juta!

Magufuli alikuwa anapenda sana kula chatu
 
Back
Top Bottom