Waafrika hasa hao ( Wamarekani Weusi ) hawajaanza Kuuwawa ( Kuuliwa ) Kinyama na Wazungu ( Wamarekani ) Leo na Sisi huku tukifurahia hii Hukumu ni Kazi bure na wataendelea tu Kuwauwa.

Na kinachonishangaza zaidi ni kwamba Sisi Waafrika huku Kwetu 'tumeshupalia' hili 'Sakata' na kuona kuwa ni baya wakati huku huku Kwetu Afrika Waafrika tunauana 'Kinyama' tena 24/7 huku Viongozi ( Marais ) nao 'Wakiua' sana Watu ( hasa Watesi wao ) lakini 'hatushupai' hivi na tunanyama na kuona ni sawa tu

Tatizo Kubwa la Sisi Waafrika ni Unafiki.
Kuuwawa❌
Kuuawa✅
 
Huyo marehemu alikuwa mbishi ndio maana yametokea yote hayo.
Huyo police ni clearly innocent.

Hayo maamuzi yamefanyika ili kufurahisha black americans.
 
Haki iko mbinguni
Umeielewa mada lakini? mada inazungumzia haki ilivyotendeka huko marekani
hoja yako inaleta maana kuwa marekani ni mbinguni,
misemo mingi ya kihenga imejificha katika unafiki uliopitiliza , else where they never exist .
 
Wanakusalimu
Screenshot_20210421-082314.jpg
 
Huyo marehemu alikuwa mbishi ndio maana yametokea yote hayo.
Huyo police ni clearly innocent.

Hayo maamuzi yamefanyika ili kufurahisha black americans.
Uliliona lile tukio?
polisi huko duniani wanafundishwa kila kitu kuanzia kuattack thresholds ya kuanza kutumia silaha na wakati gani nguvu haihitajiki tena !
by the time floyd amewekwa chini na yule polisi , kulikuwa hakuna tena sababu za kumkaba koo .
 
Wamefanya tu kuirahisisha ili kujaribu kupooza maandamano ya mwingine mweusi alieuawa hivi karibuni. Ndio maana baada ya mandamano haya kukolea,wamefanya nayo kesi iende haraka na mshikaji awe mbuzi wa kafara.
Lakini ksbb tu ni mauaji,kiukweli watu weusi marekani ni wakorofi,wamekaa kishari sana. Lazima polisi anapoenda mitaa ya weusi anajihami. Polisi wengi wameuawa sana kwa namna hiyo.
Maeneo wanakoishi weusi ndio yenye uharifu mwingi,ndio yenye madawa ya kulevya,ndio yenye siraha nyingi.
Vijana wengi weusi wa marekani hajalelewa kimaadiri. Kwa dar ni kama mfano vijana wa magomeni,anakua ni kama anajilea mwenyewe. Kwa hiyo unakuta wana maamuzi ya kikatili. Kijana wa magomeni akishika disps haoni tatizo kukutumbua nayo. Je ingeruhusiwa wamiliki siraha kama marekani?. Ndivyo watu weusi wengi wa marekani wako. Kama ana siraha,kuua kitu cha kawaida. Polisi lazima tu ajihami
 
sio kama huku kwetu mzeee !, wenzetu ni system inafanya kazi , hawategemei utashi wa rais .
katiba ikiwa nzuri hata mahakama zitafanya kazi vizuri
Sema nini chief, angekua trump hii kesi ingepindishwa huo ndiyo ukweli, maana trump tangu awali alionyesha dalili za kuwa na upande,
 
Waafrika hasa hao ( Wamarekani Weusi ) hawajaanza Kuuwawa ( Kuuliwa ) Kinyama na Wazungu ( Wamarekani ) Leo na Sisi huku tukifurahia hii Hukumu ni Kazi bure na wataendelea tu Kuwauwa.

Na kinachonishangaza zaidi ni kwamba Sisi Waafrika huku Kwetu 'tumeshupalia' hili 'Sakata' na kuona kuwa ni baya wakati huku huku Kwetu Afrika Waafrika tunauana 'Kinyama' tena 24/7 huku Viongozi ( Marais ) nao 'Wakiua' sana Watu ( hasa Watesi wao ) lakini 'hatushupai' hivi na tunanyama na kuona ni sawa tu

Tatizo Kubwa la Sisi Waafrika ni Unafiki.
Kutochukua hatu pia isingebadilisha hiyo mitazamo uliyonayo, unasahau ukoloni ulianza mbali sana ila tukajikomboa kwa hatua za awali, pia hili ni jambo linalochochea mabadiliko juu ya unyanyapaa wa watu weusi, ni bora kitu kuliko kutokufanya kitu kabisa
 
Huyo marehemu alikuwa mbishi ndio maana yametokea yote hayo.
Huyo police ni clearly innocent.

Hayo maamuzi yamefanyika ili kufurahisha black americans.

Kulikua hakuna umuhimu wa kutumia nguvu katika kumtia nguvuni, nilifuatilia court session hivi uliona chauvin lile goti lake alivyomkandamiza hayati George, goti lilikua limeegemea shingo kwa nguvu kiatu chake kilionekana kilionekana kutogusa eneo la chini, usiwe shabiki bali fuatilia namna hukumu ilitolewa, nimekushangaa kuona unasema hukumu imetoka kuwafurahisha watu weusi, je wewe ulikua eneo la tukio, umesikia utetezi wa mashahidi waliokua eneo la tukio?wewe ni muongo
 
Back
Top Bottom