Malipo kwamungu
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 574
- 86
Marigwe umebadilika huko nyuma hukuwa hivyo !!! unakumbuka NYUMBU Kibaha ?
zomba mbona unanitisha...does that approach solve the problem? Killing one person will not kill the ideology....You know it well
Hoja nyepesi sana. Kwahiyo kama huyo hajui upelelezi ndio uishie hapo? Kamanda kabainisha wazi wazi kuwa yule askari alikuwa kazini na hizo ndio kazi za polisi hilo halina mjadala. Watuhumiwa wa Ulimboka ni wengi sana kwasababu alikuwa kiongozi wa mgomo ambao una athari/maslahi kwa wengi sana. Mtuhumiwa anaweza kuwaabanwe huyo huyo....anajua kila kitu.....
Hivi hao maafisa usalama wakiugua watapelekwa India pia? Na wake zao wakitaka kujifungua watapelekea Johanesburg? Madaktari wakiamua kuwafanya unyama maafisa usalama watasalimika? Wakiamua kuwadunga sindano zenye virusi au sumu watakwepa? Mbona wanatangaza vita wasiyoiweza?
alipoku anazungumza katika kuupokea mwenge akasema eti kinondoni "eneo lake lipo salama salmini"Kumbe tuko wengi tuliosikia huo uppuuzii,
Mwanawane mpango labda ulikuwa ni huo. kumchukua sehemu ya public, Kumpiga huku wakiongea kwa sauti awasikie na awaamini kwenda kumtupa msitu uleule waliouawa wale wafanyabiashara bado akiwa hai na halafu taarifa ziwafikie watu maalum mapema alfajiri.Utumwe kuua na bunduki unayo usimpige hata nusu risasi? highly unprofessional.
Sasa Mpoki unalalamika nini? Wale watanzania mliowagomea kuwatibu bila shka mmeelewa machungu yao. Nyie madktari hamna lolote just a bunch of cronies of chadema! Unallamika ulimboka kchelewa kupewa huduma? Nyinyi mnavyogoma kuwapatia wananchi huduma? Shame on you!
Jamani yule ndiye mtu ambaye angeanzisha upelelezi ambao ndio ungeleta jibu la chanzo cha tukio. Sasa tunasikitika amepigwa.
Mwanawane mpango labda ulikuwa ni huo. kumchukua sehemu ya public, Kumpiga huku wakiongea kwa sauti awasikie na awaamini kwenda kumtupa msitu uleule waliouawa wale wafanyabiashara bado akiwa hai na halafu taarifa ziwafikie watu maalum mapema alfajiri.
Binafsi nimefarijika sana na kipigo alichokipata Ulimboka huo ndo mshahara wa dhambi. Yeye amewaongoza wenzake kuacha roho za watu maskini wa nchi hii waliokuwa na uwezo wa kwenda kununua panadol wafe. Madaktari chini ya uratibu wake wameendelea kugoma kwa kudai maslahi yao, wakati wanajua kugoma kwako hawawakomoi Kikwete wa wala Pinda ila wanamkomoa Babu yangu mzaa Mama aliyefikia Bugando Hospitali wakati anasubili kufanyiwa upasuaji wa kibofu cha Mkojo, yeye akawahimiza wenzake wagome.
Nimefarijika kwamba hawakumuua ila wamemuonesha kwamba, huo ndiyo MSHAHARA WA DHAMBI anazowaongoza wenzake kuzifanya za kuacha roho za wananchi maskini wakiteseka kwa kutaka kuongewezwa fedha.
kuna namna nyingi za kudai maslahi yao kama ni sahihi lakini siyo kwa kuacha kumtibu Mgonjwa ambaye hana mbele wala nyuma.
Kwa kweli sina huruma na Madaktari kabisa waliogoma sina huruma na huyu kikaragosi wao Ulimboka na wote waliogoma. Inakuwaje haki za Binadamu anapopigwa Ulimboka lakini hiyo haki ya Binadamu haisemwi pale roho za wasio kuwa na hatia zkitoka kwa UJINGA na UPUMBAVU na TAMAA na KUTOKUWA NA HURUMA kwa Madaktari waliosomeshwa kwa fedha za mlima tumbaku kule Tabora au Korosho kule Mtwara au Pamba kule mwanza n.k ambaye ushuru wa mazao yake ndiyo unaowasomesha Madaktari na wanakuwa na VIBURI vya kuacha kuwahudumia na wanakufa!!!
Nimefurahi sana na kufarijika sasa acha akae Hospitali apewe huduma kisha avae nafsi ya mtanzania aliyevamiwa na majambazi akapigwa na kuwa kama yeye kisha afike Hospitali na hali aliyokuwa nayo yeye Ulimboka na akute yeye Ulimboka amewaongoza wenzake kugoma. Ndugu zake na yeye mwenyewe wangejisikiaje??
Huduma zenyewe zinazotolewa na Madkatari wetu ni "MAGUMASHI MATUPU" huduma wanazotoa ni kama wako kwenye MGOMO kila siku.
madaktari pale walikulupuka kumpiga yule jamaa sasa kwa vile wanaona taalum yao ni bora kuliko zote basi na upelelezi wafanye wenyewe
what if madaktari wakitangaza vita na wagonjwa ambao ni wanausalama nani atashinda?. Hili suala kina mwema wasilichukulie kijuujuu lina effect kubwa sana kwa askari wa kawaida. Wanatakiwa kuweka kila kitu wazi na kuwakana wale wote waliosuka mpango huu unprofessional.