Askari alokutwa hospital ndie mtuhumiwa no.1

Kamanda wa polisi amehojiwa TBC1 akasema kuwa wananchi waache kuchukua sheria mikononi yule askari pale Muhimbiri alikuwa anafanya upelelezi kujua kilichotokea, hivyo inaonekana wananchi wameharibu taratibu za kipelelezi, hivyo tunaweza tusipate kitu chochote kizuri.

Nawakilisha niliyosikiliza.

What a lame excuse!
Huyu KOVA kasomea wapi aisee? Kwani je huyo askari angekufa kwa ajai au ugonjwa, ina maana jeshi zima au kikosi kizima cha upelelezi kingekufa anaye?
 
Sasa Mpoki unalalamika nini? Wale watanzania mliowagomea kuwatibu bila shka mmeelewa machungu yao. Nyie madktari hamna lolote just a bunch of cronies of chadema! Unallamika ulimboka kchelewa kupewa huduma? Nyinyi mnavyogoma kuwapatia wananchi huduma? Shame on you!

Wakati unapojibu au kutoa hoja tulia kwanza/jipange.Hebu soma ulichoandika kwa makini!CDM inahusikaje?Yaani kila mwenye mtazamo tofauti na serikali ni CDM?
 
Kama Tanzania tuna wapelelezi wa dizain ya yule jamaa niliyemuona kwenye TV kweli imekula kwetu. Maana amepewa kichapo cha mbwa mwizi.
Kamanda wa polisi amehojiwa TBC1 akasema kuwa wananchi waache kuchukua sheria mikononi yule askari pale Muhimbiri alikuwa anafanya upelelezi kujua kilichotokea, hivyo inaonekana wananchi wameharibu taratibu za kipelelezi, hivyo tunaweza tusipate kitu chochote kizuri.

Nawakilisha niliyosikiliza.
 
Sasa Mpoki unalalamika nini? Wale watanzania mliowagomea kuwatibu bila shka mmeelewa machungu yao. Nyie madktari hamna lolote just a bunch of cronies of chadema! Unallamika ulimboka kchelewa kupewa huduma? Nyinyi mnavyogoma kuwapatia wananchi huduma? Shame on you!

hata mademu wenu wakiwanyima unyumba mtasingizia chadema!
 
Sasa Mpoki unalalamika nini? Wale watanzania mliowagomea kuwatibu bila shka mmeelewa machungu yao. Nyie madktari hamna lolote just a bunch of cronies of chadema! Unallamika ulimboka kchelewa kupewa huduma? Nyinyi mnavyogoma kuwapatia wananchi huduma? Shame on you!

Best angu emu nikumbushe hivi mama ako alizaa na JK au Wassira.
 
Binafsi nimefarijika sana na kipigo alichokipata Ulimboka huo ndo mshahara wa dhambi. Yeye amewaongoza wenzake kuacha roho za watu maskini wa nchi hii waliokuwa na uwezo wa kwenda kununua panadol wafe. Madaktari chini ya uratibu wake wameendelea kugoma kwa kudai maslahi yao, wakati wanajua kugoma kwako hawawakomoi Kikwete wa wala Pinda ila wanamkomoa Babu yangu mzaa Mama aliyefikia Bugando Hospitali wakati anasubili kufanyiwa upasuaji wa kibofu cha Mkojo, yeye akawahimiza wenzake wagome.

Nimefarijika kwamba hawakumuua ila wamemuonesha kwamba, huo ndiyo MSHAHARA WA DHAMBI anazowaongoza wenzake kuzifanya za kuacha roho za wananchi maskini wakiteseka kwa kutaka kuongewezwa fedha.

kuna namna nyingi za kudai maslahi yao kama ni sahihi lakini siyo kwa kuacha kumtibu Mgonjwa ambaye hana mbele wala nyuma.

Kwa kweli sina huruma na Madaktari kabisa waliogoma sina huruma na huyu kikaragosi wao Ulimboka na wote waliogoma. Inakuwaje haki za Binadamu anapopigwa Ulimboka lakini hiyo haki ya Binadamu haisemwi pale roho za wasio kuwa na hatia zkitoka kwa UJINGA na UPUMBAVU na TAMAA na KUTOKUWA NA HURUMA kwa Madaktari waliosomeshwa kwa fedha za mlima tumbaku kule Tabora au Korosho kule Mtwara au Pamba kule mwanza n.k ambaye ushuru wa mazao yake ndiyo unaowasomesha Madaktari na wanakuwa na VIBURI vya kuacha kuwahudumia na wanakufa!!!

Nimefurahi sana na kufarijika sasa acha akae Hospitali apewe huduma kisha avae nafsi ya mtanzania aliyevamiwa na majambazi akapigwa na kuwa kama yeye kisha afike Hospitali na hali aliyokuwa nayo yeye Ulimboka na akute yeye Ulimboka amewaongoza wenzake kugoma. Ndugu zake na yeye mwenyewe wangejisikiaje??

Huduma zenyewe zinazotolewa na Madkatari wetu ni "MAGUMASHI MATUPU" huduma wanazotoa ni kama wako kwenye MGOMO kila siku.
 
Kamanda wa polisi amehojiwa TBC1 akasema kuwa wananchi waache kuchukua sheria mikononi yule askari pale Muhimbiri alikuwa anafanya upelelezi kujua kilichotokea, hivyo inaonekana wananchi wameharibu taratibu za kipelelezi, hivyo tunaweza tusipate kitu chochote kizuri.

Nawakilisha niliyosikiliza.

asante kwa kuwasilisha.....
 
Pole ndugu kama yaliyokukuta yana ukweli,mungu amrehemu babu yako na Ampe nafuu Dr Ulimboka!
 
unataka huduma nzuri????nenda APOLLO,,,,why unaenda bugando???na nadhan ni moja ya madai yao ndo hayo kuwa vitendea kazi vibovu na huduma ndo mbovu,,,
 
Sasa Mpoki unalalamika nini? Wale watanzania mliowagomea kuwatibu bila shka mmeelewa machungu yao. Nyie madktari hamna lolote just a bunch of cronies of chadema! Unallamika ulimboka kchelewa kupewa huduma? Nyinyi mnavyogoma kuwapatia wananchi huduma? Shame on you!

Rudi kwenye mada, siasa inahusika nini kwenye huu mgomo ? Chanzo ni mishahara duni ya madaktari ambalo ni jambo lisinlopngika kwa watumishi wote. Mkiambiwa ukweli mnakimbilia kuuhusisha na siasa, boresha maisha ya watumishi kama mtaona hiyo migomo.
 
Wangemuua tu huyo kachero wa polisi kwani kazi yao kubwa siyo kulinda wananchi bali ni viongozi na wezi wakubwa wa nchi hii, madaktari hakikisheni kila askari anayekuja kutibiwa anatangulia kuzimu ili kujenga heshima kwa hao Failures wa kidato cha nne.....
 
Wakati unapojibu au kutoa hoja tulia kwanza/jipange.Hebu soma ulichoandika kwa makini!CDM inahusikaje?Yaani kila mwenye mtazamo tofauti na serikali ni CDM?

Sio mtazamo tofauti ni wote wenye kueneza chuki na choko choko kwakuwa CDM waliwahi kusema kuwa nchi haitawalika.
 
Kamanda wa polisi amehojiwa TBC1 akasema kuwa wananchi waache kuchukua sheria mikononi yule askari pale Muhimbiri alikuwa anafanya upelelezi kujua kilichotokea, hivyo inaonekana wananchi wameharibu taratibu za kipelelezi, hivyo tunaweza tusipate kitu chochote kizuri.

Nawakilisha niliyosikiliza.

sarakasi hizo zimeanza
 
K*ma*ko Unaongea kama mjamzito!Hivi wewe nani kakwambia utumie mtandandao huu kuleta m*vi yako humu?Fack you!!Cursed be you stupid puddy!

Back
Top Bottom