Ask your bae for sex without using the word SEX....

Enzi hizo mababu zetu walikua wanatumia hii... Hasa kipindi watoto wakiwa sebuleni ule mda baada ya kula cha usiku..

Kama mbaba anataka sex... Anasogelea jiko anachukua kuni anaisukuma jikon (kama anachochea moto)...

Mwanamke akiwa hayuko fresh au yuko period basi ataifwata ile kuna na kuichomoa kabisa...

Hapo mzee anajua leo pakavu...

Kama mama yuko fresh basi nayeye atachukua kuni na kuisukuma jikoni kama alivyo fanya mzee...

Yan hapo mtoto hawezi elewa nini kinaendelea... Kumbe wazee washawasiliana mapema kabisa!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom