Ask not what your country can do for you – ask what you can do for your country.«

unprejudiced

JF-Expert Member
Jan 27, 2017
3,505
2,862
Katika kipindi hiki ambacho prozent kubwa ya watu duniani kote, tunahangaika na COVID-19 Pandemie, Serikali Zote duniani na watu Wake wameendelea kutafuta njia Bora ya kupambana nayo huku kila moja kwa mazingira, na uwezo wa kiuchumi na kitaalam, akifanya liwezekanalo kupunguza madhara ya Uhai na kiuchumi kwa watu Wake.

Kikubwa ambacho, Mimi binafsi kwa ushuhuda wa mazingira yangu na watumishi wa Afya, nimekiona kinasaidia sana Ni kukaa nyumbani. Kuosha mikono, kuvifuta vitasa. Kukohoa kwa kutumia Tissue na kuitupa, kuvaa Mask unapotoka nje. Hasa kwenye Public Transportations like Train, Tram Usw. Avoiding contact na watu usioishi nao. Na Wale unaoishi nao Basi at least one and half meter if possible. Na ukiwa na dalili usitoke mana ndio njia kubwa ya kuambukiza. Tafuta namna kupata msaada wa watu wa afya.


Maandiko mengi ya Humu bado yapo kisiasa sana. Yapo kitanzania halisi. Huwa hatutoi Solution. Kwetu huwa Ni nafasi rahisi sana kulaumu. Niwaambie haitasaidia lolote zaidi ya kutafuta sijui ndo salio kutoka mahali fulani. Sijui kwa kweli. Mana huku nakoishi, kujitegemea Ni part na parcel ya maisha. Kukimbia matatizo kwa faraja ya kitoto ya pleasure principle at all cost ni upumbavu na intellectual suicide. Wajerumani wanasema: „Schau auf mich, schau auf dich, so schützen wir uns.“. Hakuna namna nyingine. Kwa tabia na maneno ya humu, Kuna dalili ya mtu kupata dalili na kujiskia furaha kusambaza kwa wengine wengi akizani ndo anapambana na Serikali. Sijui Serikali Ni Nani?

Maneno ya Rais wa marekani: Ask not what your country can do for you – ask what you can do for your country.“ yatusaidie kugrow up. It’s never too late to begin a new. Wewe mwenye bundle waeleze watu practical Solutions sio kuwa sababu ya Daily changamoto. Kama unateseka na changamoto za mtoto, mke. Mchumba. Mchepuko Nk. Waza viongozi wanaopaswa kufanya maamuzi juu ya watu zaidi ya 60 M. Namwungalia Trump watu wengi wanakufa kutokana na medical care Lakini nchi yake imetoa msaada kwa nchi fulani za kiafrika. Uuhhh. It’s all about Wirtschaft. Eine Hand wäscht die andere. Life goes on.

Do the right thing and be proud of it, that you at least have helped to save one oder two lives.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri mzuri sana
Hakuna anaependa kupata magonjwa mwanzo nilikuwa nashangilia sana wa Lock donw, ila nimekutana na watu wenye maisha magumu sana. Yule mama ameenda kununua maharage ili watoto wake wale ugali na mboga hiyo tu na anadai ndio aliyonayo na akawa anamlilia sana mama ntilie amjazie kidogo zaidi. Serikali pia itafute uwezekana wa kuwasaidia wote wale waliokuwa na hali duni ambao hawawezi kukaa tu nyumbani na riziki zao ni za kila siku tu. .
 
Ugonjwa umekuja kwa ndege kwa makosa ya nchi, ni wajibu wa nchi kufanya kitu kutunusuru wote na kunusuru mapato ya nchi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom