Asiyesikia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asiyesikia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Benno, May 7, 2011.

 1. B

  Benno JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2011
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ALIKATAZWA NA DR. Asinywe vinywaji vyenye Vileo kama Bia, la hasha, kila akabuni mbinu mpya ya kuchanganya Bia na Soda, ili ndugu wasitambue. Sasa anapumulia machine hosp. Na anasema amelogwa.

  Ndugu wametumia pesa nyingi sasa hawajui wafanyaje'


  ndugu lawama
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hiyo tunasema IMEKULA KWAKE FLUU!
   
 3. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  inabidi ndugu wasubiri miujiza toka kwa Mungu.
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Mpumbavu huyo, watu wanahofia uhai wake halafu analeta utani. Namwomba Mungu asife ila akione cha moto, xhenzy zakeh....
   
Loading...