Asiyekuwepo na lake Halipo, Siasa za udini na ukabila ni mawazo mfu

Jibu kwa hoja usitukaneee

Maana usitoe mapovuuuu

Unapata kujua unachotetea hukijui maana umeanza kuwasema Wazee wetu walio lala

NYERERE baba yetu aliyelala mwenye mchango mkubwa nchi hii.

Sokoine

Magufuli aliyemuibua hata huyo unayemtetea

Na kingine unaonekana bila hata chembe ya uongo wewe ni Muislamu.

Na huna hoja yoyote na Wale viongozi wetu waliopita ndio wametufanya tuwe hapa leo.

Kwa utamaduni wetuu

Marehemu haswemwi hata kidogoo.
Fungal mdomo wakoo
Magufuli alimuibua Nani!? Alimkuta wapi!

Labda unambie aliwaibua kina Bashite, Bashiru, Polepole, na yule aliyemtoa Jalalani.

Na ww pia bila chembe ya shaka ni Mkristo tena unayeumia Muislam kupata nafasi tena bila ht kujali sifa
 
Pole Sana kwa kuendeleza udini na ukabila, Kwa ufupi kuna mapadre kibao ambao ni waislamu tena wengi sana na wanasalisha Misa

Watu wakuja Bwana, Umetokea porini huko na katambuga umefika Dar unajiona unajua mambo kuliko Mkuu wa nchi



All in all, Magufuli hayupo tena, Nyerere hayupo tena na hata Sokoine hayupo tena

Unafahamu maana ya neno muislam?

Unafahamu maana ya neno mkristo?

Dini hizi mbili zilikuja Tanzania kupitia zanzibar

Wamisionari wa kwanza Anglikan na katoliki waliingia kupitia zanzibar

Wewe mkristo wa Gwajima na Mwamposa mmetoka wapi?

Wewe unasali makanisa yanayosema Tumeokoka, Unafahamu huo wokovu maana yake au unasikiliza tafsiri ya Gwajima na Mwamposa?

Kwa ufupi walioleta uislam na ukatoliki, Hawakuleta hizo tafsiri zenu toka kwa Gwajima na Mwamposa

Wewe ni mjinga wa mwisho

Hivi madhebu yote hapa Tanzania si yalikataliwa na wakatoliki

Wakatoliki ndio Baba na Mama yao, Kwa hiyo waliokataliwa katoliki wasifungue makanisa yao?

Waliokataliwa na nyerere wasipewe nafasi?

Waliokataliwa na Mwinyi wasipewe nafasi?
Tulia kwanza bandugu, mbona papara kama unaoga nje?!
Padre Mwislamu ndio nini?
Gwajima na Mwamposa sio Wokovu bwana. Wokovu ni kupitia Yesu Kristu tu, Mwana wa Mungu aliyehai. Atakaye tubu na kumkiri toka moyoni kuwa Yeye ni Bwana na Mwokozi wake, naye atauishi Wokovu milele.
 
Tanzania ni lazima iendelee kubaki na kuwa na UMOJA.....

Wananchi waelewa wa nchi Yao wala hawana "pang'ang'a" zozote za ubaguzi....

#TanzaniaKwanzaKablaYaChochote
#SiempreJMT
 
Huyo mama 2025 akagombee kwao Zanzibar. Tanganyika hatuongozwi na Mzanzibari tena.
Unaongea kama mtoto mdogo vile.....

Sema wewe hutaongozwa.....usitusemee na kutuingiza wengine.....

#SiempreJMT
#NchiKwanzaKablaYaMaslahiVikundi
 
Mnachokipigania hakina maana, walikuwepo wakristu upande wa pili wakawa wanalia kila siku na wao wanataka wapewe nafasi, sasa wameanza kupewa kwa fujo naamini watanyamaza, then ndipo watapata nafasi nzuri ya kujifunza kitu.

Kumbe uwepo wa dini fulani kwa wingi huko serikalini hakuondoi police brutality, hakuondoi wizi wa kura, hakuondoi tozo, hakuondoi vyote, hakuondoi kubambikia watu kesi, hakuondoi kupandisha bei ya bundles za simu, CCM bado wanabaki CCM kwenye kulindana na kuyalinda maslahi yao regardless ya dini zao.

Sisi huku chini tukianza kushikana mashati kwa ajili ya dini zetu, CCM ndio wanafurahi, wanapata muda mzuri wa kufanya mambo yao ya hovyo kwa watanzania kwasababu tuko busy kuulizana dini zetu, nani wa kwetu kapewa uteuzi, wakati kimsingi, hata huyo wa dini yako akipewa huo uteuzi, wewe mwenzangu na mimi haukusaidii chochote, bado utahangaika kutafuta mkate wako na wa familia yako.

Tuamke sasa, tuache kuwaza haya mambo ya kitoto, kuzililia dini zetu ni ubinafsi ambao unaonesha wazi hatustahili kupewa kikubwa tunachotaka, kama sisi wenyewe huku chini bado tunatengana, umoja wetu ndio utaleta haki sawa kwa wote, but utengano huu wa dini utazidi kuwafanya CCM watuburuze wapendavyo. Katiba Mpya itafutwe kwa umoja wetu bila kuulizana dini zetu.
 
Yatapita tu ni suala la muda tu
We ni miongoni mwa Washenzi walokuja mjini hamjui ht kuvaa suruali.
Washamba ambao marehemu Ditopile Mzuzuri alisema mlikuja mjini hamjui ht kula chapati kwa mchuzi.

Hivi Magufuli alikufanyeni nini hasa mpaka eti akimkataa mtu basi na wengine awakatae.
Nakumbuka JK aliwahi kumuusia usirithi maadui wa mwenzio lkn lilikuwa jitu fulani hv lisiloshaurika.

Kila zama na kitabu chake. Mama chapa kazi achana na mijitu hii yenye mawazo ya enzi za ujima
 
Mnachokipigania hakina maana, walikuwepo wakristu upande wa pili wakawa wanalia kila siku na wao wanataka wapewe nafasi, sasa wameanza kupewa kwa fujo naamini watanyamaza, then watapata nafasi nzuri ya kujifunza kitu.

Kumbe uwepo wa dini fulani kwa wingi huko serikalini hakuondoi police brutality, hakuondoi wizi wa kura, hakuondoi tozo, hakuondoi vyote, hakuondoi kubambikia watu kesi, CCM bado wanabaki CCM kwenye kulindana na kuyalinda maslahi yao regardless ya dini zao.

Sisi huku chini tukianza kushikana mashati kwa ajili ya dini zetu, CCM ndio wanafurahi, wanapata muda mzuri wa kufanya mamno yao ya hovyo kwa watanzania kwasababu tuko busy kuulizana dini zetu, nani wa kwetu kapewa uteuzi, wakati kimsingi hata huyo wa dini yako akipewa huo uteuzi, wewe mwenzangu na mimi haukusaidii chochote, bado utahangaika kutafuta mkate wa familia yako.

Tuamke sasa, tuache kuwaza haya mambo ya kitoto, kuzililia dini zetu ni ubinafsi ambao unaonesha wazi hatustahili kupewa kikubwa tunachotaka, kama sisi wenyewe huku chini bado tunatengana, umoja wetu ndio utaleta haki sawa kwa wote, but utengano huu wa dini utazidi kuwafanya CCM watuburuze wapendavyo.
Kweli mkuu
 
Hamia Zanzibar ukaongozwe na wazanzibari. Tanganyika itaongozwa na watanganyika.
Una mamlaka gani ya kuwaambia hivyo raia wenzako wa pande mbili za muungano?!!!

Who are you by the way?!! Khaaa 😳😳Are you deluded?!!!

Kwa kuwa wewe ni mtoto uliye chini ya miaka 18 ngojea nikupe kisomo kidogo.....

TANGANYIKA ilishakufa.....aliifuta baba wa taifa.....

Na Zanzibar si "Madagascar"....wakazi wa huko wametokea huku bara....ndio maana unaona hata Rais wao mh.Dr Mwinyi alipata kuwa mbunge wa Mkuranga....Sasa unashangaa kipi kwa mh.SSH kuwa Rais wa JMT?!!!

Ingekuwepo hiyo TANGANYIKA iliyokufa na kuzikwa basi mh.Samia Suluhu Hassan angeweza hata kuwa Rais wake ilihali anatokea Makunduchi Zanzibar ......

Kalaghabaho

#SiempreJMT
#NchiKwanzaKablaYaUpumbavuWaUkabilaUkandaNaUdini
 
Tunaishi kwa mawazo( Idea) zilizopita na kuboreshwa lakini hatuishi maisha ya mtu aliyepita( Mfu).

Tunatumia kanuni( Theory) zilizopita na kuboreshwa za akina Newton Einstein, Michael ANGEL. Lakini hatuishi maisha yao walioishi

Dini na ukabila ni mawazo yaliyopitwa na wakati, Zimebaki jamii chache kwa sasa ambazo maisha yao hayajachangama yaani mkristo kuoa muislam au Mchaga kuolewa na Mkinga

Jina la mtu kwa sasa sio uthibitisho wa dini au Kabila bali ni alama ya kumtambulisha na kurahisha mawasiliano, Majina ya mtu hayana uhusiano na kabila au dini yake Katika karne ya ishirini na moja

Kwa wale wenye mawazo ya ukanda, udini na ukabila na ambao waliingia chama cha mapinduzi ( CCM) kwa kufuata mtu au Kabila na sio kufuata sera na itikadi watambue ambaye hayupo na lake halipo

Ni jambo la aibu kwa mwana CCM imara kukaa kufikiria uteuzi, udini na ukabila badala ya kutumia muda mwingi kufanya kazi

Kazi ni matokeo, Afanyaye kazi kwa bidii uteuzi wake upo pale pale kila awamu, Mwan CCM anayesubiri uteuzi na kuhusianisha wanaoteuliwa na ukabila, ukanda na udini alishapitwa na wakati ( A walking Dead)

Anayetaka kuishi kama mfu ndani ya CCM aendelee kusubiri Mzimu na Mizimu ya wana ccm wafu wa zamani waje wamuonyeshe njia

Anayetaka kuishi kwa mawazo yaliyopita na kuboreshwa huyo ndio ataishi kwa Furaha ndani ya ccm

Anayeendelea kupiga tarumbeta la udini na ukabila huku ukitambua watanzania wengi waliozaliwa kuanzia miaka ya 1990 hawajui hata maana ya neno Tanganyika au Zanzibar na wala hawajui kazi ya kabila au dini zao

Kwa wale wahenga kuanzia miaka ya 1980 mpaka 1940 waliotumia dini na ukabila kutambika ni sehemu ndogo ya watanzania na mnazidi isha na kupotea kwenye ardhi
Kuwa muwazi tu unawananga Promagufulism.

Kingine ni kuwa CCM bila ulaji hata wewe usingekuwa huko.

Ni njaa tu zinawatuma kutetea ufisadi, wizi, uporaji, mauaji, utekaji n.k
 
Hao wapendwa wako walilisaidia nini taifa zaidi ya chuki na utengano??? Je yale mauaji ya raia na utekwaji watu uliyafurahia??? Je dhulma na baadhi ya viongozi kujifanya miungu watu kwako ilikuwa sawa???
Tulia dawa iingie...
Acha dawa iingie tu. Genge la Magufuli lilikywa hatari. Hata hivyo mabaki yamebaki mengi.
 
Una mamlaka gani ya kuwaambia hivyo raia wenzako wa pande mbili za muungano?!!!

Who are you by the way?!! Khaaa 😳😳Are you deluded?!!!

Kwa kuwa wewe ni mtoto uliye chini ya miaka 18 ngojea nikupe kisomo kidogo.....

TANGANYIKA ilishakufa.....aliifuta baba wa taifa.....

Na Zanzibar si "Madagascar"....wakazi wa huko wametokea huku bara....ndio maana unaona hata Rais wao mh.Dr Mwinyi alipata kuwa mbunge wa Mkuranga....Sasa unashangaa kipi kwa mh.SSH kuwa Rais wa JMT?!!!

Ingekuwepo hiyo TANGANYIKA iliyokufa na kuzikwa basi mh.Samia Suluhu Hassan angeweza hata kuwa Rais wake ilihali anatokea Makunduchi Zanzibar ......

Kalaghabaho

#SiempreJMT
#NchiKwanzaKablaYaUpumbavuWaUkabilaUkandaNaUdini
What a foolish argument.

Rudi shule ujifunze zaidi ujenge hoja.

Ulishawahi kuona taifa linafutwa na mtu? Eti baba wa taifa alifuta Tanganyika.

I am sorry, huna akili ya kujadiliana na mimi. Mtafte mtu mwingine kwenye ukoo wenu ambae angalau ana akili kidogo tujadiliane kuhusu haya mambo, yako juu sana ya uelewa wako.
 
Nyie watu punguzeni ujinga kwani magufuli alikua na nini hasa kiasi kitu akikataa yeye basi ndo najisi kwa wengine?..acheni huo uduwanzi
Unakataa nini wakati ndivyo ilivyokuwa! Tuliambiwa akisema yeye hiyo ni sheria na hatukukuona ukijitokeza kumpinga hata tu kumpinga mungu wa Dar es Salaam kuwa huyo siyo mungu wa Tanzania.
 
Una mamlaka gani ya kuwaambia hivyo raia wenzako wa pande mbili za muungano?!!!

Who are you by the way?!! Khaaa 😳😳Are you deluded?!!!

Kwa kuwa wewe ni mtoto uliye chini ya miaka 18 ngojea nikupe kisomo kidogo.....

TANGANYIKA ilishakufa.....aliifuta baba wa taifa.....

Na Zanzibar si "Madagascar"....wakazi wa huko wametokea huku bara....ndio maana unaona hata Rais wao mh.Dr Mwinyi alipata kuwa mbunge wa Mkuranga....Sasa unashangaa kipi kwa mh.SSH kuwa Rais wa JMT?!!!

Ingekuwepo hiyo TANGANYIKA iliyokufa na kuzikwa basi mh.Samia Suluhu Hassan angeweza hata kuwa Rais wake ilihali anatokea Makunduchi Zanzibar ......

Kalaghabaho

#SiempreJMT
#NchiKwanzaKablaYaUpumbavuWaUkabilaUkandaNaUdini
Mimi sina shida hata tukiongozwa na wanayarwanda poa tu. Shida yangu ni kwanini Rais Samia anataka kutupeleka kule kule alikotoka magufuli??

Ingawa najua hata yeye anajua kuwa Magufulism ilikuwa utawala wa hovyo ktk uso wa dunia.

Pengine anajipanga kuweka nchi sawa. Mwanga kwa mbali unaonekana
 
Mimi sina shida hata tukiongozwa na wanayarwanda poa tu. Shida yangu ni kwanini Rais Samia anataka kutupeleka kule kule alikotoka magufuli??

Ingawa najua hata yeye anajua kuwa Magufulism ilikuwa utawala wa hovyo ktk uso wa dunia.

Pengine anajipanga kuweka nchi sawa. Mwanga kwa mbali unaonekana
Tanzania ni moja mkuu.....

Wacha mh.Rais SSH atuendelezee taifa letu.....

Muda utaongea aaamin🙏
FB_IMG_16332143456548674.jpg
 
Kweli kabisa. Mwambie mama aendelee kujaza Waislamu na Wakojani kwenye safu yake.
Pia asiache kuokota wale waliokataliwa na Magufuli kama Makamba, Sophia Mjema, Makala n.k
Magufuli sio Biblia au Msaafu
Yapo mengi alikosea ila tumemsitiri
Mwacheni mama apige kazi
 
Back
Top Bottom