Asiyekuwepo na lake Halipo, Siasa za udini na ukabila ni mawazo mfu

What a foolish argument.

Rudi shule ujifunze zaidi ujenge hoja.

Ulishawahi kuona taifa linafutwa na mtu? Eti baba wa taifa alifuta Tanganyika.

I am sorry, huna akili ya kujadiliana na mimi. Mtafte mtu mwingine kwenye ukoo wenu ambae angalau ana akili kidogo tujadiliane kuhusu haya mambo, yako juu sana ya uelewa wako.
🤣🤣🤣 Argumentum ad hominem.....

Unaleta kiburi cha kuipigia makofi nafsi yako eee? Si ndio ee?!! Khaaa 😳

Ungekuwa una uelewa mpana na historia ya taifa hili wala usingeleta "pang'ang'a" za "idiocy"...

Mbona baba wa taifa ameeleza vyema tu kuhusu kuifuta Tanganyika.....kwani umeambiwa aliifuta ARDHI NA ENEO LA ILIKOKUWA TANGANYIKA?!!!

Taifa la TANGANYIKA liko wapi kikatiba?!!

Kwani unadhani wale G55 walizuiwa na nani kama si baba wa taifa?!!!

Kwa kuwa uko chini ya miaka 18 endelea tu na "delusions na fantasy" zako......

#SiempreJMT
#NchiKwanzaKablaYaUpumbavuWaUkabilaNaWaAsiliZetu
 
Bila ukabila na uasili wa watu utakuwa na taifa lisilojitambua.
Kikatiba Tanganyika bado ipo, muungano haujumuishi kila kitu na ndiyo sababu Zanzibar inalo Bunge lake na Rais wake. Tanganyika iliyoko kwenye katiba ndiyo iliyoungana na Zanzibar kufanya Tanzania.
 
Muungano wetu ni wa kipekee....si lazima ufanane na wengine.....

Kiutawala TANGANYIKA ilifutwa na hayati baba wa taifa.....sababu akazitoa na zikaeleweka na bado baadhi ya kizazi cha Sasa TUNAZIELEWA VYEMA TU.....

TANGANYIKA iko wapi bwashee?!!!

HASTA LA VICTORIA EL COMANDANTE JULIUS KAMBARAGE NYERERE aamin🙏
 
Tunaishi kwa mawazo( Idea) zilizopita na kuboreshwa lakini hatuishi maisha ya mtu aliyepita( Mfu).

Tunatumia kanuni( Theory) zilizopita na kuboreshwa za akina Newton Einstein, Michael ANGEL. Lakini hatuishi maisha yao walioishi

Dini na ukabila ni mawazo yaliyopitwa na wakati, Zimebaki jamii chache kwa sasa ambazo maisha yao hayajachangama yaani mkristo kuoa muislam au Mchaga kuolewa na Mkinga

Jina la mtu kwa sasa sio uthibitisho wa dini au Kabila bali ni alama ya kumtambulisha na kurahisha mawasiliano, Majina ya mtu hayana uhusiano na kabila au dini yake Katika karne ya ishirini na moja

Kwa wale wenye mawazo ya ukanda, udini na ukabila na ambao waliingia chama cha mapinduzi ( CCM) kwa kufuata mtu au Kabila na sio kufuata sera na itikadi watambue ambaye hayupo na lake halipo

Ni jambo la aibu kwa mwana CCM imara kukaa kufikiria uteuzi, udini na ukabila badala ya kutumia muda mwingi kufanya kazi

Kazi ni matokeo, Afanyaye kazi kwa bidii uteuzi wake upo pale pale kila awamu, Mwan CCM anayesubiri uteuzi na kuhusianisha wanaoteuliwa na ukabila, ukanda na udini alishapitwa na wakati ( A walking Dead)

Anayetaka kuishi kama mfu ndani ya CCM aendelee kusubiri Mzimu na Mizimu ya wana ccm wafu wa zamani waje wamuonyeshe njia

Anayetaka kuishi kwa mawazo yaliyopita na kuboreshwa huyo ndio ataishi kwa Furaha ndani ya ccm

Anayeendelea kupiga tarumbeta la udini na ukabila huku ukitambua watanzania wengi waliozaliwa kuanzia miaka ya 1990 hawajui hata maana ya neno Tanganyika au Zanzibar na wala hawajui kazi ya kabila au dini zao

Kwa wale wahenga kuanzia miaka ya 1980 mpaka 1940 waliotumia dini na ukabila kutambika ni sehemu ndogo ya watanzania na mnazidi isha na kupotea kwenye ardhi
Hakuna mtanzania asiyejua Tanganyika na Zanzibar acha upotoshaji mambo hayo yote hufundishwa shuleni labda wewe ndiye hujui usiwasemee watanzania uongo
 
Ila wasukuma walijisahau sana, ndo imetoka hiyo.
Tunaishi kwa mawazo( Idea) zilizopita na kuboreshwa lakini hatuishi maisha ya mtu aliyepita( Mfu).

Tunatumia kanuni( Theory) zilizopita na kuboreshwa za akina Newton Einstein, Michael ANGEL. Lakini hatuishi maisha yao walioishi

Dini na ukabila ni mawazo yaliyopitwa na wakati, Zimebaki jamii chache kwa sasa ambazo maisha yao hayajachangama yaani mkristo kuoa muislam au Mchaga kuolewa na Mkinga

Jina la mtu kwa sasa sio uthibitisho wa dini au Kabila bali ni alama ya kumtambulisha na kurahisha mawasiliano, Majina ya mtu hayana uhusiano na kabila au dini yake Katika karne ya ishirini na moja

Kwa wale wenye mawazo ya ukanda, udini na ukabila na ambao waliingia chama cha mapinduzi ( CCM) kwa kufuata mtu au Kabila na sio kufuata sera na itikadi watambue ambaye hayupo na lake halipo

Ni jambo la aibu kwa mwana CCM imara kukaa kufikiria uteuzi, udini na ukabila badala ya kutumia muda mwingi kufanya kazi

Kazi ni matokeo, Afanyaye kazi kwa bidii uteuzi wake upo pale pale kila awamu, Mwan CCM anayesubiri uteuzi na kuhusianisha wanaoteuliwa na ukabila, ukanda na udini alishapitwa na wakati ( A walking Dead)

Anayetaka kuishi kama mfu ndani ya CCM aendelee kusubiri Mzimu na Mizimu ya wana ccm wafu wa zamani waje wamuonyeshe njia

Anayetaka kuishi kwa mawazo yaliyopita na kuboreshwa huyo ndio ataishi kwa Furaha ndani ya ccm

Anayeendelea kupiga tarumbeta la udini na ukabila huku ukitambua watanzania wengi waliozaliwa kuanzia miaka ya 1990 hawajui hata maana ya neno Tanganyika au Zanzibar na wala hawajui kazi ya kabila au dini zao

Kwa wale wahenga kuanzia miaka ya 1980 mpaka 1940 waliotumia dini na ukabila kutambika ni sehemu ndogo ya watanzania na mnazidi isha na kupotea kwenye ardhi
 
Muungano wetu ni wa kipekee....si lazima ufanane na wengine.....

Kiutawala TANGANYIKA ilifutwa na hayati baba wa taifa.....sababu akazitoa na zikaeleweka na bado baadhi ya kizazi cha Sasa TUNAZIELEWA VYEMA TU.....

TANGANYIKA iko wapi bwashee?!!!

HASTA LA VICTORIA EL COMANDANTE JULIUS KAMBARAGE NYERERE aamin🙏
Tanganyika haijafutwa na sheria na huyo unayesema aliifuta ni kwenye kikao cheu si ndani ya bunge, nchi inaendeshwa na sheria si matamko.
 
Kweli kabisa. Mwambie mama aendelee kujaza Waislamu na Wakojani kwenye safu yake.
Pia asiache kuokota wale waliokataliwa na Magufuli kama Makamba, Sophia Mjema, Makala n.k
Jiue kama umechukia.

Na ataendelea kuteua kwa kadri ya anavyoona inafaa hata ikiwa waislamu wote.

Na wewe mchunga ng'ombe wa kisukuma huna lolote utakalofanya zaidi ya kuja kulialia tu JF.
 
Tanganyika haijafutwa na sheria na huyo unayesema aliifuta ni kwenye kikao cheu si ndani ya bunge, nchi inaendeshwa na sheria si matamko.
Duuuh 😳😳🤣🤣🤣

Kwa hiyo katiba yetu unautambua UTAWALA wa TANGANYIKA?!!

Uko wapi?!!

Rais wake ni nani?!!
 
Acha dawa iingie tu. Genge la Magufuli lilikywa hatari. Hata hivyo mabaki yamebaki mengi.
Wanajifanya wameshasahau kana kwamba kulikuwa kumefanywa wema saaaaaaana!!! Mtu alikuwa akigawa shilingi milioni moja huko mtaani kisha mnasikia trilioni haijulikani iliko!!! Watu wakihoji nyufa... Wakihoji mivujo... Wakihoji ubovu wa uongozi yote yalikuwa ni shida!!! Watu waliikimbia nchi... Watu walifunga biashara!!! Yoote hayo kina flani hawayaoni kisa wanapata posho buku tanotano
 
Tunaishi kwa mawazo( Idea) zilizopita na kuboreshwa lakini hatuishi maisha ya mtu aliyepita (Mfu).

Tunatumia kanuni( Theory) zilizopita na kuboreshwa za akina Newton Einstein, Michael ANGEL. Lakini hatuishi maisha yao walioishi

Dini na ukabila ni mawazo yaliyopitwa na wakati, Zimebaki jamii chache kwa sasa ambazo maisha yao hayajachangama yaani mkristo kuoa muislam au Mchaga kuolewa na Mkinga

Jina la mtu kwa sasa sio uthibitisho wa dini au Kabila bali ni alama ya kumtambulisha na kurahisha mawasiliano, Majina ya mtu hayana uhusiano na kabila au dini yake Katika karne ya ishirini na moja

Kwa wale wenye mawazo ya ukanda, udini na ukabila na ambao waliingia chama cha mapinduzi ( CCM) kwa kufuata mtu au Kabila na sio kufuata sera na itikadi watambue ambaye hayupo na lake halipo

Ni jambo la aibu kwa mwana CCM imara kukaa kufikiria uteuzi, udini na ukabila badala ya kutumia muda mwingi kufanya kazi

Kazi ni matokeo, Afanyaye kazi kwa bidii uteuzi wake upo pale pale kila awamu, Mwan CCM anayesubiri uteuzi na kuhusianisha wanaoteuliwa na ukabila, ukanda na udini alishapitwa na wakati ( A walking Dead)

Anayetaka kuishi kama mfu ndani ya CCM aendelee kusubiri Mzimu na Mizimu ya wana ccm wafu wa zamani waje wamuonyeshe njia

Anayetaka kuishi kwa mawazo yaliyopita na kuboreshwa huyo ndio ataishi kwa Furaha ndani ya ccm

Anayeendelea kupiga tarumbeta la udini na ukabila huku ukitambua watanzania wengi waliozaliwa kuanzia miaka ya 1990 hawajui hata maana ya neno Tanganyika au Zanzibar na wala hawajui kazi ya kabila au dini zao

Kwa wale wahenga kuanzia miaka ya 1980 mpaka 1940 waliotumia dini na ukabila kutambika ni sehemu ndogo ya watanzania na mnazidi isha na kupotea kwenye ardhi
Sawa lakini hatuiitaji ccm tena
 
Hii ni aina ya mada isiyokuwa na mantiki kabisa.

Haieleweki mleta mada hoja yake ni nini hasa?

Kwanza "Newton Einstein" na "Michael ANGEL" ni akina nani hao na wanahusiana vipi na mada iliyoletwa hapa.
Hawa watu walishaishi kwenye ulimwengu huu, na walifanya kitu gani hadi uwaweke kwenye mada yako. Kama ni wale ninaowafahamu mimi, wenye majina ya kufanana na hayo basi hujui ulichoandika hapa. Unataka tu kujionyesha unajuwa kitu kumbe huna lolote unalolijuwa.

Na hayo mambo ya dini, uteuzi, CCM yanahusiana vipi?

Kuna jambo unaogopa kulizungumzia kwa uwazi hapa? Kuna mtu anayefanya uteuzi kwa kupendelea kundi fulani, na upo hapa kumtetea? Si useme tu waziwazi?

Mambo ya kubaguana kama yapo hayawezi kufichika, na huwezi kuzuia watu kuwa na hisia za kubaguliwa kama kupo.
 
Hii kitu aloanzisha jpm italeta tafrani kama mama ataendelea kujibu mapigo.

Maana ubaguzi hautaisha,
Akitoka mama atakayekuja nae atajibu mapigo na kundelea hivyo hivyo na mwisho
Dikteta kashapotea udongoni, Hana lolote jema la kukumbukwa labda utekaji na kubambikia watu kesi, na kuvuruga uchumi wa Nchi,

Samia Hadi 2045
 
Back
Top Bottom