Asiye na dhambi awe wa kwanza kurusha jiwe

RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
51,719
107,824
Wana JF na watanzania kwa jumla,tumekuwa wa kwanza kurusha lawama kuhusiana na huduma mbovu serikalini na taasisi mbalimbali nchini.Shutuma nyingi sana tumezielekeza moja kwa moja kwa Rais na wasaidizi wake.
Vile vile taasisi nyingi kama vile TRA,TPA,TANESCO,POSTA,JKN AIRPORT, WIZARA MBALIMBALI,BUNGE,MAHAKAMA n.k.
Nakubaliana na watanzania wengine baadhi ya tuhuma zinazoelekezwa kwenye taasisi hizi na serkali yenyewe ni za kweli na wanastahili kujirekebishwa kama kweli tumenuia kuliendeleza taifa.
Kitu ambacho nimekuwa nikijiuliza,ni nani anayefanyakazi kwenye hizi taasisi?Je sio sisi wananchi ambao kesho na kesho kutwa tunalaumu serikali na taasisi nyingine ambazo sisi hatufanyi kazi?
Mtu wa tanesco atalalamika huduma za tra ni mbovu ilhali yeye nae huko kazini kwako anafanya haya haya anayolalamikia,mfano huu unagusa watu na taasisi mbalimbali nchini.
Je wewe unaelaumu serikali au taasisi fulani mbovu,huko unakofanyia shughuli zako ni msafi?Tujisafishe wenyewe kabla ya kulaumu wenzetu.
Naamini kila mtu akitimiza wajibu wake ipasavyo tutapiga hatu kubwa kimaendeleo.
 
Umesema vyema Mkulu.
Si wote tunaweza kukubali hili.
 
[
QUOTE]Je wewe unaelaumu serikali au taasisi fulani mbovu,huko unakofanyia shughuli zako ni msafi?Tujisafishe wenyewe kabla ya kulaumu wenzetu.
Naamini kila mtu akitimiza wajibu wake ipasavyo tutapiga hatu kubwa kimaendeleo
[/QUOTE]
aah bana wewe kwakua Ofisini kwako ni mchafu basi unadhani kila mpinga ufisadi nae anakaufisadi kake hufanya......
kuishi bila ufisadi si ngumu zaidi ya kuishi bila kutamani mwanamke..hivyo inawezekana kwa mtu kuwa msafi, mwaminifu na mwadilifu hadi mauti.
 
ndugu zangu tatizo lililopo ni mfumo wa kufanya kazi kimazoea.hii ni mbaya sana fikiria ni mara ngapi unakuta nguzo imeanguka unapiga simu tanesco au unandugu yako anaiba umeme unawafahamisha teneco?chukua hatua madthubuti ya kupambana na nafsi yako kwa kufanya kazi kwa bidii na sio kutegemea serikali itafanya kila kitu.kwa mfano we huna uwezo wa kufunga bomba lililopasuka hadi usubirie idara za maji(daswco-dar,muwasco )
 
tatizo si kuchunguzwa we hujapata mahali pa kufanyia huo ufisadi kama ingekuwepo ungekuwa unachukua seringeti boys maana nawaogopa sana dada zetu wenye hela
 
Wana JF na watanzania kwa jumla,tumekuwa wa kwanza kurusha lawama kuhusiana na huduma mbovu serikalini na taasisi mbalimbali nchini.Shutuma nyingi sana tumezielekeza moja kwa moja kwa Rais na wasaidizi wake.
Vile vile taasisi nyingi kama vile TRA,TPA,TANESCO,POSTA,JKN AIRPORT, WIZARA MBALIMBALI,BUNGE,MAHAKAMA n.k.
Nakubaliana na watanzania wengine baadhi ya tuhuma zinazoelekezwa kwenye taasisi hizi na serkali yenyewe ni za kweli na wanastahili kujirekebishwa kama kweli tumenuia kuliendeleza taifa.
Kitu ambacho nimekuwa nikijiuliza,ni nani anayefanyakazi kwenye hizi taasisi?Je sio sisi wananchi ambao kesho na kesho kutwa tunalaumu serikali na taasisi nyingine ambazo sisi hatufanyi kazi?
Mtu wa tanesco atalalamika huduma za tra ni mbovu ilhali yeye nae huko kazini kwako anafanya haya haya anayolalamikia,mfano huu unagusa watu na taasisi mbalimbali nchini.
Je wewe unaelaumu serikali au taasisi fulani mbovu,huko unakofanyia shughuli zako ni msafi?Tujisafishe wenyewe kabla ya kulaumu wenzetu.
Naamini kila mtu akitimiza wajibu wake ipasavyo tutapiga hatu kubwa kimaendeleo.

tunaweza kuwa si watakatifu ..ila ukinambia swala la tanesco kwangu mie linaniboa sana .
Hii kata umeme rudisha kata rudisha ,wakituuunguzia vitu vyetu huwa wanalipa.
 
Tupo wengi kweli watoa kibanzi machoni pa wenzetu,ilhali boriti zikiangamiza mboni zetu!!
 
tunaweza kuwa si watakatifu ..ila ukinambia swala la tanesco kwangu mie linaniboa sana .
Hii kata umeme rudisha kata rudisha ,wakituuunguzia vitu vyetu huwa wanalipa.[/QUOTE.

firstlady kuepukana na hii kadhia nenda kanunue jenerata lako weka nyumbani itakugharimu mwanzo lakini siku zinazofuata utaishi vizuri
 
Ninalo ila naona linanipigia tu kelele sijui la mchina ?
 
tunaweza kuwa si watakatifu ..ila ukinambia swala la tanesco kwangu mie linaniboa sana .
Hii kata umeme rudisha kata rudisha ,wakituuunguzia vitu vyetu huwa wanalipa.[/QUOTE.

firstlady kuepukana na hii kadhia nenda kanunue jenerata lako weka nyumbani itakugharimu mwanzo lakini siku zinazofuata utaishi vizuri

The best option ni solar na si generator. Gharama za mwanzo za solar ni ghali kidogo ila haina running cost kubwa kama za generator. Pia generator ni risk na makelele yake yanaboa hata majirani wanaweza kukuchukia.
 
Wako watu wazuri tu na waaminifu kazini kwao ila huangushwa na mabosi wao. Chukulia mfano wa richmond, wataalamu wa TANESCO walishatoa maoni yao ya kitaalamu kuhusu kampuni hiyo lakini yakaachwa na wakubwa kuunda kamati zao za kuhalalisha wizi wao. Sasa ndo maana tunailamu serikali kwasababu wao ndo wenye maamuzi makubwa na hali mbaya ya kiuchumi na wizi wa mali ya umma chanzo ni wakubwa na si watu wa chini. Kwamfano nani alisaini mikataba ya madini, nani aliwapa Richmond tender, nani aliidhinisha wizi wa EPA, nani aliwapa RITES kuendesha TRA, nani aliwapa TICS tender ya kupakua mizigo bandarini, nani alisaini mkataba wa IPTL etc. Haya yote yamefanywa na watu wa ngazi za juu sana serikali na watu wa chini walishinikizwa tu kutekeleza. Kwahiyo hatuwezi kuacha kuilamu serikali hata siku moja.
 
nakubaliana na wewe mkuu,
je vpi kuhusu wale jamaa pale airport wanavyosumbua watu wawape tsh walizobakisha kabla kupanda ndege?vipi kuhusu bandarini hadi mlinzi getini anadai hongo ndio utoe gari?na hao tra wanavyosumbua watu ili mradi uwape hela ili mambo yako yaende sawa je?hawa si wananchi kama mimi na wewe?hapa sizungumzii top management,nazungumzia watu wadogo unaogongana nao kila siku kwenye idara mbalimbali.
 
Back
Top Bottom