Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,427
- Thread starter
- #21
Wewe jamaa huwa mbishi kila wakati. Haya umepinga kauli ya mkurugenzi wa TRC kwamba 2% ya mizigo ya UG ndio inayopitia Dar port. Sasa utapinga pia waziri wenu wa uchukuzi ambaye pia yeye ameconfirm kwamba 2% ya mizigo ya UG ndio inayopitia Dar port? Msikilize waziri wenu joto na upunguze ubishi. Waziri wenu wa uchukuzi na mkurugenzi wa TRC wote hawawezi kuwa wrong na wewe uwe right.Hivi angesema bandari ya Dar inapitisha 50% ya mizigo ya Uganda ungekimbilia kufunga huu Uzi?
Ni muhimu kutumia akili wakati unasoma na kusililiza habari, sio kila unachosikia unakubali. Wewe unajua wazi kwamba 20% ya mizigo ya Uganda ndiyo inayopitia Dar, na Sasa hivi hiyo namba inazidi kuongezeka kutokana na uwekezaji mkubwa unaofanyika katika "Central corridor", na Kitendo cha WFP kuachana na bandari ya Mombasa kusafirisha mizigo kwenda Uganda, South Sudan na DRC, Sasa iweje tena hiyo 20% ishuke hadi 2%?.
Ni wazi kwamba Kadogosa amezungumzia 2% ya mizigo ya Uganda ndiyo inayosafirishwa kwa Reli, sio bandari, kumbuka yeye ni mkurugenzi wa reli sio bandari, hawezi kuzungumzia Mambo ya bandari.
Hawa hapa Waganda wenyewe wanathibitisha kwamba mzigo unaopitia Dar port ni 20%
Dar Port, Mombasa competition heats up - New Vision Official
Previously, the Mombasa route was preferred by Ugandan traders for both imports and exports and it accounted for 80% of Uganda’s trade.www.newvision.co.ug
Cc joto la jiwe
Geza Ulole