Asilimia kubwa ya watanzania hawana ajira

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
hii imethibitika jana kwenye vurugu za mbagala kwani kama mtu una kazi zako au shughuli yako kamwe huwezi jishugulisha na hivi vitu sawa najua mtoto kakosea lakini unamwachia mungu mwenyewe amuhukumu sio wewe
 
C.T.U nakubaliana na wewe. Kwa kila Mtanzania mmoja mwenye kazi rasmi; kuna wategemezi wasiopungua watatu ......ndugu mmoja wa upande wa baba; ndugu mmoja wa upande wa mke na mke/mume kama hana kazi.
 
Last edited by a moderator:
hii imethibitika jana kwenye vurugu za mbagala kwani kama mtu una kazi zako au shughuli yako kamwe huwezi jishugulisha na hivi vitu sawa najua mtoto kakosea lakini unamwachia mungu mwenyewe amuhukumu sio wewe
Hawa hawamwabudu Mungu, wanaabudu :A S-devil4::fencing::rockon::rockon::shetani:
 
hii imethibitika jana kwenye vurugu za mbagala kwani kama mtu una kazi zako au shughuli yako kamwe huwezi jishugulisha na hivi vitu sawa najua mtoto kakosea lakini unamwachia mungu mwenyewe amuhukumu sio wewe

Sawa lakini hili ni jukwaa la picha sasa picha iko wapi?
 
Kua muislamu ni kilema kikubwa sana dini inadumaza mpk akili ushenzi kwao sifa.Bora yng mm mpagani.
 
hii imethibitika jana kwenye vurugu za mbagala kwani kama mtu una kazi zako au shughuli yako kamwe huwezi jishugulisha na hivi vitu sawa najua mtoto kakosea lakini unamwachia mungu mwenyewe amuhukumu sio wewe

strong agree c.t.u
:A S 465:
 
Back
Top Bottom