Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kuwa na wanaume wanaojiweza kiuchumi

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
2,204
2,083
Ipo hivi,

Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kuwa na wanaume wanaojiweza kiuchumi. Lakini wanapotambua kwamba wameshaoa hushangaa sana na huumia na kusema wanaume wote ni mbwa tu.

Lakini ukweli ni kwamba wanaume sio mbwa ni wanawake wenyewe ndio wameshindwa kufanya uchunguzi. Kwenye kila mafanikio ya Mwanaume nyuma yake kuna mwanamke!!! Na wewe unataka Mwanaume mwenye mafanikio unategemea nini???

Huyo sio mumeo mtarajiwa huyo ni mume wa mtu fulani ni mara chache sana kukutana na Mwanaume anayejiweza akawa single, either uwe shareholder au unyanganye share ya mwanamke mwenzio kitu ambacho sio busara.

Tambua hili mume wako yupo anahangaika kutoka kimaisha anapigania ndoto zake. Huenda yuko shule, shamba, dukani au anabeti kimsingi yupo anapigania kuchomoka kimaisha. Anakusubiri tu wewe umpe support na back up ya kutosha mtafute huyo uanze nae chini.
 
Sio asilimia kubwa bali asilimia zote wanapenda hivyo na huo ndo ukweli.

Hakuna mwanamke atasema kuwa hapendi mumewe awe na uwezo wa kiuchumi kama ambavyo hakuna mwanaume atasema hapendi mkewe awe na tako la kumringishia.
 
Tutafute pesa ndugu zangu
IMG-20210130-WA0015.jpg
 
Na sasa ukishakuwa na uwezo, ni wanawake wengi sana sana wanakutaka. Inaweza kuwa changamoto hapo sababu wengi wanafuata hela. Ila kwa ushauri hapo ni kutafuta msichana umri mdogo hata miaka 19 ambaye hajavurugwa na ulimwengu wa hela.

Halafu ndio unamwoa huyo. Ukiwa na hela halafu ukawa na hawa mashangingi, unaweza filisika muda si muda. Chukua mdogo, na mkunje anyooke afuate ile barabara unataka. Ukiona vipi, beba mwenye bikra kabisa. Umepambana sana kufanikiwa kiuchumi, unastahili ukule maraha yote vizuri kabisa
 
Hakuna maish matamu ya kuish kulingan n uwezo wako unawez kuwa na Aman ya kas San ukitupa kule tamaa na kujiona wew unawez Kila kity ndo yanayo tushinda lkn tukiish kulingan na kipato yote haya hayawez kutokea mnawez kupata mafanikio makubwa kutokan ty mulikubalian na hali ko maish yanakuw yanaend ty.
 
Hakuna maish matamu ya kuish kulingan n uwezo wako unawez kuwa na Aman ya kas San ukitupa kule tamaa na kujiona wew unawez Kila kity ndo yanayo tushinda lkn tukiish kulingan na kipato yote haya hayawez kutokea mnawez kupata mafanikio makubwa kutokan ty mulikubalian na hali ko maish yanakuw yanaend ty.
Ni kweli wanjilo
 
Ukipewa list ya wenye ngoma mtaani,utaona mahusiano yanatakiwa nidhamu ya hali ya juu
 
Maisha sio mchezo wa uoga,,, hakuna anayependa pesa ila pesa ndio isiwe kama kigezo cha lazima
 
Back
Top Bottom