Asilimia kubwa ya wanawake walio katika uhusiano au ndoa wanabakwa na kuridhia

Silasc sikupenda niweke maneno yangu kabisa. Nmeongea nao na nimetumia majibu yao na maneno yao si yangu. Kwa hiyo sikatai hoja yako na wapo watakao kuja kukubaliana nawe.

Ila mimi nimeandika ambacho nmekipata toka kwao sijaongeza sijapunguza na hisia zangu nmeziweka pemben kabisa.
Poa poa mkuu Sodoku
 
Wanaume wengi kwa sasa wamekuwa wakihangaika na kuongeza maumbile na dawa za kurefusha muda. Wastani wa mwanamke aliyeandaliwa vizuri kufikia mshindo ni dk 2- 10 wanasema zinapozidi sana huwa wanafanya kumridhisha mwanaume.


Tumefurahi sana kusikia maneno haya kwahiyo sasa hivi tutaelekeza nguvu zetu kwenye kuwaanda hawa watu badala ya kuhangaika na dawa na kuongeza ukubwa na vumbi la Kongo.

Asante sana mkuu na sisi tunaendelea kupata faraja maanake huu uzi wa
brenda18 ulitupa wakati mgumu kweli.

Wanaume mnaoenda chini ya dakika 30, hivi mnajielewa kweli?
 
Hapo ni ukweli mtupu ,,,,,,,,,mapenzi ni starehe na kuridhishana mpaka kila mtu analala fofofo
 
ulichokiongea kina ukweli kwa asilimia kubwa lakini sio 100%....shida ni kuwa na hisia kwa muda tofauti kuna muda mwanamke anakuwa na hisia za kusex wakati mwanaume hana na wakati mwingine mwanaume anakuwa na hisia wakati mwanaume hana.....uzuri wa mwanamke akiwa na hisia anauwezo wa kuzicontrol lakini mwanaume akiwa na hisia ni vigumu kuzicontrol...inapotokea yupo na mpenzi wake hata kama mwanamke hana hisia mwanaume atalazimisha hapo ndipo dhana ya kubaka inapokuja

cc. myself

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
  • Thanks
Reactions: nao
Back
Top Bottom