Asilimia kubwa ya wanawake walio katika uhusiano au ndoa wanabakwa na kuridhia

Duuuuuuh, hizi notice itabidi nimshirikishe wife.
Maana , aiseee naona nyota - nyota kwa sababu, mara naelewa mara ghafula sielewi.
 
ha ha ha..kama unavyosikia kuna MAGONJWA SUGU hivyo hivyo kuna wanawake sugu na sipingani naye watu wameumbwa tofaut tofaut..la msingi ni kumsoma mwenzi wako kwanza. haya yote ni saikolojia kama yeye anaamini inabidi umsugue kwa masaa m 4 ndo anakusikia inabidi ufanye hayo mazoezi ila asikutese tafuta mnayefanana maana atakufanya ukatumie vumbi la kongo ambalo litakupa madhara ukifika 50s unakuta jongo hata kusimama hasimami acha kuwika tu. then yeye anaendelea na wengine maana yeye hachoki kule kupo tu.issue unabak nayo wewe sasa maana nawe umeenda umeshakuwa usiku.

lakini pia wanawake hawa hawasemi kuwa ndo uwe mtu wa dk 5 tu umeshusha mzigo ...no wanataka game nzuri lakini ya kimahaba na si kama ile ya wacheza porn. mapenzi ni kupeana ...nataka nimwone brenda. nakumbuka kulikuwa na story dada mmoja chuo alikuwa anataka akitongozwa siku ya game wanaume wawepo kama watatu hivi au watano kumshghulikia. sasa usiombe ukapata bahati mbaya wewe ndo ukamwoa wa namna hiyo.

Tumefurahi sana kusikia maneno haya kwahiyo sasa hivi tutaelekeza nguvu zetu kwenye kuwaanda hawa watu badala ya kuhangaika na dawa na kuongeza ukubwa na vumbi la Kongo.

Asante sana mkuu na sisi tunaendelea kupata faraja maanake huu uzi wa
brenda18 ulitupa wakati mgumu kweli.

Wanaume mnaoenda chini ya dakika 30, hivi mnajielewa kweli?
 
halafu kwa kuandika hivi ndugu yangu unakuwa umefarijika kuwa wewe upo ok? wenyewe huwa hawajitangazi kabisa huwa wananyamaza hawapigi mayowe wnaacha watu waone wenyewe.

Hiyo namba 3 inakufanya uwe na wivu wa kkie!

Kama ni mwanaume basi unakibamia

"mwanaume mashine"
 
ha ha ha..kama unavyosikia kuna MAGONJWA SUGU hivyo hivyo kuna wanawake sugu na sipingani naye watu wameumbwa tofaut tofaut..la msingi ni kumsoma mwenzi wako kwanza. haya yote ni saikolojia kama yeye anaamini inabidi umsugue kwa masaa m 4 ndo anakusikia inabidi ufanye hayo mazoezi ila asikutese tafuta mnayefanana maana atakufanya ukatumie vumbi la kongo ambalo litakupa madhara ukifika 50s unakuta jongo hata kusimama hasimami acha kuwika tu. then yeye anaendelea na wengine maana yeye hachoki kule kupo tu.issue unabak nayo wewe sasa maana nawe umeenda umeshakuwa usiku.

lakini pia wanawake hawa hawasemi kuwa ndo uwe mtu wa dk 5 tu umeshusha mzigo ...no wanataka game nzuri lakini ya kimahaba na si kama ile ya wacheza porn. mapenzi ni kupeana ...nataka nimwone brenda. nakumbuka kulikuwa na story dada mmoja chuo alikuwa anataka akitongozwa siku ya game wanaume wawepo kama watatu hivi au watano kumshghulikia. sasa usiombe ukapata bahati mbaya wewe ndo ukamwoa wa namna hiyo.
6ffae290f2307ef015ea2b84ded75926.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom