Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,784
Unakutana na kidume kina bastola yake mwenyewe ameichomeka hapa kwenye kiuno na kitambi chake njaa, lakini linapokuja swala la action, huwa vidume hivi vinanyweaa.
We imagine kila mara bar zinavamiwa, na pale kwenye bar unakuta kuna vidume kama vitano vyenye bastola, ila inapotoka ile amri ya jambazi kwamba wote laleni chini, vidume na bastola zao, ndio vinakuwa vya kwanza kuingia chini ya meza.
Kama kweli mnajifanya mko fully loaded na amunition kwa nini msijibu mapigo?
Kuanzia sasa sitishiki na hivi vidume uchwara vinavyojifanya kutembea na bastola...