Asilimia kubwa ya utajiri wa Diamond unatokana na kilimo

Hili jambo ninajua wengi hamlifahamu lakini ukweli ni kwamba Diamond hategemei muziki ili kukuza utajiri wake, asilimia kubwa ya utajiri wake unatokana na kilimo.

Diamond ana mashamba makubwa makubwa sana na analima alizeti,karanga na mchele ingawa yeye binafsi hapendi kuliweka wazi suala hili.

Kwa hiyo wale ambao wanadhani diamond atafulia kipesa wanajisumbua tu ukimzibia huku jamaa anatoboa huku.

Mbali na suala hilo, Diamond pia ni mkali sana kwenye suala la kazi, yaani ukitaka kumjua Diamond ni katili namna gani wewe haribu kazi aliyokutuma baasi.
Labda kilimo cha OPIUM.
 
Huku Morogoro tunalima mpunga, yeye MCHELE analimia wapi?
 
Kumiliki kampuni mtu zaidi ta mmoja mbona ni swala la kawaida wee jamaa hoja.yako imekaaa kishari sana utakua team kariaako ww saa kama msela anamiliki 45℅ izi zinamfanya awe mkurugenzi kabisa ata ka kusaga anamiliki 54℅ ila.mondi soo wa mchezo na ℅ zake
 
NAONA UZI UMEISHA WAKUANDUKA HUKU KILIMO DIAMOND HUKU YOUNG DEE AYA BHANA MWISHO DIAMOND UTADEMA ANAMILIKI WASAFI tv kumbe wasafi tv ya joseph kusaga ye ana share tu
Asilimia 45 za mondi,hata mange hakuamini
 
Back
Top Bottom