happyxxx
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 568
- 1,847
- Thread starter
- #41
Kajala anaishi maisha unayoyaota.Kajala anamaisha gani
scrapper kabisa yule
Mali pekee anayomiliki labda ni huyo
binti yake ambaye ameshaanza kumfanya kitegauchumi.
Kajala ni mfano wa wazazi wa hovyo ambao wametokana na makuzi ya hovyo waliyokulia ikichangiwa na ulimbukeni wa maisha na tabia ya kufata mikumbo ya hawa wasanii wa hapa bongo