Asilimia 99 ya wanaomshambulia Paula wamejaa unafiki, chuki na wivu

Kajala anamaisha gani
scrapper kabisa yule
Mali pekee anayomiliki labda ni huyo
binti yake ambaye ameshaanza kumfanya kitegauchumi.
Kajala ni mfano wa wazazi wa hovyo ambao wametokana na makuzi ya hovyo waliyokulia ikichangiwa na ulimbukeni wa maisha na tabia ya kufata mikumbo ya hawa wasanii wa hapa bongo
Kajala anaishi maisha unayoyaota.
 
Kajala anaishi maisha unayoyaota.
Wewe utakuwa mpumbavu Sana, Mimi nimeshakamilisha ndoto zangu , kutokana na malezi mazuri niliyopewa na kusoma shule nzuri ya seminary.
Niliajiriwa mwaka 2006 baada ya kumaliza elimu ya degree.
Nilikuwa nalipwa kwa dollars.
Nikafanya kazi kwa miaka 10 nikastaafu kazi ya kuajiriwa .
Tokea 2016 nimeajiri watu zaidi ya 50 wananifanyia kazi , kitu kilichokuwa ndoto yangu na ndio maisha ninayoishi ya ndoto yangu nianzie wapi kuota maisha ya huyo Malaya.
Wewe utakuwa hujapevuka kiakili na hujielewi .
Usifikiri huku JF wote wanaakili fupi Kama wewe.
Nakusikitikia Sana binti Kama una ndoto ya kuishi maisha ya huyo Malaya kajala ambaye kwa taarifa yako namfahamu tokea miaka ya mwishoni ya 1990 alikuwa anakatakata viuno kwenye maukumbi ya disko
Hana lolote la maana alilofanikisha zaidi ya umalaya na kumpoteza huyo mtoto wake .
Majani naye sijui alizaa na limwanamke la namna gani atakuwa anajuta sana jinsi linavyomzalilisha
 
Huyo ni ww mwenye kufanya tafiti zote hzo, ila hao wanao muonea wivu yote hayo hawajifikilii, wanachoona wao anadate na staa, mitandaoni yy ndie anazungumziwa vlevle ni staa pia, ko watu wanamuonea wivu.
Hamna lolote huyo binti.
Na sidhani kama kuna mtu yeyote anamuonea wivu huyo mtoto sanasana wanamsikitikia na kumuonea huruma.
Embu mwambieni atulie aishi maisha ya binti mstaarabu kwenye ndoto ya maisha mazuri huko mbeleni.
Manake ameshapotea na anaendelea kupotea zaidi na anamdhalilisha tu Baba yake na wadogo zake
 
Maisha ya bnt mstaarabu ndo yapi....?
Asilimia kubwa ya vijana tumeanza swala la kimahusiano katikati ya miaka 19 hadi 23 kwa vijana tena kwa hyo 23 unaonekana umechelewa sana,ko ntakushangaa kumuona huyo paila wa ajaaabi ikiwa hata bnt wa miaka 16 anafaa kwa kuliwa.
Paula kwa umli alionao hakuna lolote la ajabu la kumfanya muumshangae na kumuongelea kama mkosaji
 
Wewe kijana huna wazazi nini? Utakuwa umelelewa bila wazazi au umepata malezi mabovu Kama ya huyo binti mzinzi unayemtetea.
Mimi nachangia Kama mzazi.
Kwa taarifa yako , hakuna mzazi yeyote makini na anayejielewa ataruhusu mtoto wake afanye uzinzi huo unaousifia
 
Wewe utakuwa mpumbavu Sana, Mimi nimeshakamilisha ndoto zangu , kutokana na malezi mazuri niliyopewa na kusoma shule nzuri ya seminary.
Niliajiriwa mwaka 2006 baada ya kumaliza elimu ya degree.
Nilikuwa nalipwa kwa dollars.
Nikafanya kazi kwa miaka 10 nikastaafu kazi ya kuajiriwa .
Tokea 2016 nimeajiri watu zaidi ya 50 wananifanyia kazi , kitu kilichokuwa ndoto yangu na ndio maisha ninayoishi ya ndoto yangu nianzie wapi kuota maisha ya huyo Malaya.
Wewe utakuwa hujapevuka kiakili na hujielewi .
Usifikiri huku JF wote wanaakili fupi Kama wewe.
Nakusikitikia Sana binti Kama una ndoto ya kuishi maisha ya huyo Malaya kajala ambaye kwa taarifa yako namfahamu tokea miaka ya mwishoni ya 1990 alikuwa anakatakata viuno kwenye maukumbi ya disko
Hana lolote la maana alilofanikisha zaidi ya umalaya na kumpoteza huyo mtoto wake .
Majani naye sijui alizaa na limwanamke la namna gani atakuwa anajuta sana jinsi linavyomzalilisha
Andika kujifurahisha....kuandika ni very easy ila msoto ni real.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Watanzania adui yetu mkubwa kwa sasa ameongezeka.

Wakati wa Nyerere ilikuwa umaskini,magonjwa na ujinga.

Kwa sasa adui yetu mkubwa ni

1. Wivu
2. Chuki
3. Unafki

Ukikaa chini ukatafakari kinachowafanya watu wapige kelele za Paula na maisha yake ni hao maadui wapya watatu.

Maana hakuna kipya cha ajabu anachokifanya Paula mpaka mapovu yawatoke namna hii.
Watu ni wanafki, wanamuonea wivu Paula na Ray imesababisha wakajaa chuki.

View attachment 1861861
picha ya ambayo Paula alitupia kwenye ukurasa wake wa instgram
Hivi mwanao akiwa anajipiga picha za uchi na Mama yake utasemaje tena wanashangilia kubandikwa mtandaoni. Mtu anashare mboo na Mama yake bado tu unasema anaonewa wivu kut.ombwa pamoja na Mama yake, hivi una akili kweli?
 
Kama wewe unaishi maisha ya msoto pole sana.
Tokea nimezaliwa ocean road hospital sijawahi kusota wewe mtoto.
Msoto Kama msoto naweza sema niliupata sekondari huko seminarini huko nilipokuwa
nasoma kwani tulikuwa tunalima Sana na kusali Sana asubuhi na jioni kila siku ratiba hizo nilikuwa sizipendi Sana kwani tokea nizaliwe nilikuwa sijawahi kushika jembe.
Ila nimegundua maisha yale yalinipa uzoefu mkubwa sana hadi leo naishi maisha ya ndoto yangu.
Huyo kajala namfahamu tokea zamani anakatakata viuno wakati akina Juma nature wanatumbuiza .
Wakati huo wewe sijui ulikuwa wapi ? Inawezekana labda ulikuwa bado hujazaliwa au upo vijijini huko.
So Kama wewe bado unaishi maisha ya msoto nakupa pole, na Kama Una ndoto ya kuishi maisha Kama ya huyo kajala nakupa pole zaidi.
Nakushauri fikiria kuishi maisha ya ndoto yako na sio umuige mtu, kwani binadamu tupo tofauti kila mtu ameumbwa tofauti na kulelewa Katika maisha tofauti
 
Wewe kijana huna wazazi nini? Utakuwa umelelewa bila wazazi au umepata malezi mabovu Kama ya huyo binti mzinzi unayemtetea.
Mimi nachangia Kama mzazi.
Kwa taarifa yako , hakuna mzazi yeyote makini na anayejielewa ataruhusu mtoto wake afanye uzinzi huo unaousifia
Ok, we unaongea kama mzazi, naheshimu maoni yako, ila ukweli haupingiki,
Nmelelewa katika maadili safi kabisa ya kikristo "nawasifu wazazi wangu katika hili" ila ukweli unabaki palepale, sitetei uzinzi ila kubali kataa vijana wenu tunafanya sana uzinzi especialy katika Age hiyo.
Fuatilia takwimu za maambukizi ya VVU uatajua nnaongea nn, hata mwanao unaemlea katika maadili mema jua tu anajificha machoni pako ila anayofanya huko nje na uwepo wako ndo haya unayoyaona kwa kajala.
All in all kajala kafika umli sahihi wa kuolewa sizan kama we mzazi mwenye akili timamu unaweza mzuia mwanao kuwa katika mahusiano ktk umli huo vinginevyo atafanya kwa sili na kukuletea ujukuu nyumbani kwako
 
Hivi mwanao akiwa anajipiga picha za uchi na Mama yake utasemaje tena wanashangilia kubandikwa mtandaoni. Mtu anashare mboo na Mama yake bado tu unasema anaonewa wivu kut.ombwa pamoja na Mama yake, hivi una akili kweli?
Cheki huyu zuzu 😂😂😂

Wapi uliona picha ya uchi ya Paula na Kajala?

Ulikuwepo wakati wanashea hiyo dudu?
Alafu unaweza kuta na wewe unaitwa mwanaume 😂😂😂
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Kama wewe unaishi maisha ya msoto pole sana.
Tokea nimezaliwa ocean road hospital sijawahi kusota wewe mtoto.
Msoto Kama msoto naweza sema niliupata sekondari huko seminarini huko nilipokuwa
nasoma kwani tulikuwa tunalima Sana na kusali Sana asubuhi na jioni kila siku ratiba hizo nilikuwa sizipendi Sana kwani tokea nizaliwe nilikuwa sijawahi kushika jembe.
Ila nimegundua maisha yale yalinipa uzoefu mkubwa sana hadi leo naishi maisha ya ndoto yangu.
Huyo kajala namfahamu tokea zamani anakatakata viuno wakati akina Juma nature wanatumbuiza .
Wakati huo wewe sijui ulikuwa wapi ? Inawezekana labda ulikuwa bado hujazaliwa au upo vijijini huko.
So Kama wewe bado unaishi maisha ya msoto nakupa pole, na Kama Una ndoto ya kuishi maisha Kama ya huyo kajala nakupa pole zaidi.
Nakushauri fikiria kuishi maisha ya ndoto yako na sio umuige mtu, kwani binadamu tupo tofauti kila mtu ameumbwa tofauti na kulelewa Katika maisha tofauti
Magazeti kama haya uwa hayaandikwi na wenye maisha ya kueleweka. Hizi ni stress za maisha.
 
Watanzania adui yetu mkubwa kwa sasa ameongezeka.

Wakati wa Nyerere ilikuwa umaskini,magonjwa na ujinga.

Kwa sasa adui yetu mkubwa ni

1. Wivu
2. Chuki
3. Unafki

Ukikaa chini ukatafakari kinachowafanya watu wapige kelele za Paula na maisha yake ni hao maadui wapya watatu.

Maana hakuna kipya cha ajabu anachokifanya Paula mpaka mapovu yawatoke namna hii.
Watu ni wanafki, wanamuonea wivu Paula na Ray imesababisha wakajaa chuki.

View attachment 1861861
picha ya ambayo Paula alitupia kwenye ukurasa wake wa instgram
sikia mto mada,

Kwa sasa adui yetu mkubwa ni

1. ccm
2. ccm
3. ccm

hizi habari za paula isijui paulo. amin ni ninyi ndio mnao zikuza,yule binti ni binti kama wengine tena ni wa kawaida saaana. Hana maajabu yoyote hata elimu imemshinda, kiasi eti watu waanze kumchukia, kumuonea wivu au unafiki. Na kwa mtu mzima uwezi sifia uzuri wa picha za mtu zilizofanyiwa editing!!! LABDA UWE MTU MZIMA ULIYEKOMAA MWILI NA VIUNGO VYA UZAZI ILA AKILI ZA KITOTO.
 
Wewe utakuwa mpumbavu Sana, Mimi nimeshakamilisha ndoto zangu , kutokana na malezi mazuri niliyopewa na kusoma shule nzuri ya seminary.
Niliajiriwa mwaka 2006 baada ya kumaliza elimu ya degree.
Nilikuwa nalipwa kwa dollars.
Nikafanya kazi kwa miaka 10 nikastaafu kazi ya kuajiriwa .
Tokea 2016 nimeajiri watu zaidi ya 50 wananifanyia kazi , kitu kilichokuwa ndoto yangu na ndio maisha ninayoishi ya ndoto yangu nianzie wapi kuota maisha ya huyo Malaya.
Wewe utakuwa hujapevuka kiakili na hujielewi .
Usifikiri huku JF wote wanaakili fupi Kama wewe.
Nakusikitikia Sana binti Kama una ndoto ya kuishi maisha ya huyo Malaya kajala ambaye kwa taarifa yako namfahamu tokea miaka ya mwishoni ya 1990 alikuwa anakatakata viuno kwenye maukumbi ya disko
Hana lolote la maana alilofanikisha zaidi ya umalaya na kumpoteza huyo mtoto wake .
Majani naye sijui alizaa na limwanamke la namna gani atakuwa anajuta sana jinsi linavyomzalilisha
We kiroboto nini , Kwa hyo kusoma seminar ndo unakuja kuvimba humu , et kuajiri watu hamsini ndo kigezo cha kupuuza maisha ya watu , we pimbi kweli..!!! Huna lolote nenda kawatishe washamba wezanko
 
Back
Top Bottom