Asilimia 98 hawamtaki JK

drgeorge

Member
Jun 22, 2009
99
23
Tafiti binafsi: 98% ya watu ninaokutana nao na kuzungumza nao au wakiwa wanazungumza habari za siasa wanaeleza kukerwa na CCM na kutomtaka JK. Nyumbani, ofisini, chuoni, hospitalini, hotelini, sokoni, madukani, kwenye daladala, kwenye tax, kwenye foleni za benki, njiani na katika vijiwe vyangu ninavyopendelea kukaa hukutana na aina hii ya commenti. 98% wanaichukia CCM na hawamtaki JK.

wengi husema rais wao ni Dr Slaa.

Naombeni member wa JF hebu niambieni hali ikoje kwa upande wenu? Inawezekana mimi ndo nasikia vibaya kwa sababu Rais wangu ninayemtambua ni Dr. Slaa
 
Wewe utakua mkatoliki Tafiti imefanyika kwenu, Kanisani, ofisini kwa padri, chuo cha st......., hospitali ya Jimbo, hoteli nyuma ya kanisa , mnada wa harambee ya kuchangia usimikwaji wa ........, kwenye gari lililoingizwa bila kulipiwa ushuru eti ni la kituo cha kulelea yatima., benki ya deci na njiani kuelekea kanisani.
:smile-big:
RAISI WANGU NA WA WATANZANIA WOTE NI DK. KIKWETE
 
Nani anamtaka tena Kikwete? Labda wale waliopokea T shirts na kanga za kijani huko vijijini. Kama imebidi zitumike nguvu za ziada kumrudisha utajaza mwenyewe. Tunaongozwa kinyemela baada ya uchakachuaji, kama ingekuwa kwa halali subutu.
 
Wewe utakua mkatoliki Tafiti imefanyika kwenu, Kanisani, ofisini kwa padri, chuo cha st......., hospitali ya Jimbo, hoteli nyuma ya kanisa , mnada wa harambee ya kuchangia usimikwaji wa ........, kwenye gari lililoingizwa bila kulipiwa ushuru eti ni la kituo cha kulelea yatima., benki ya deci na njiani kuelekea kanisani.
:smile-big:
RAISI WANGU NA WA WATANZANIA WOTE NI DK. KIKWETE

TUSHINDANE KWA HOJA NA SIO VIROJA. MUUNGWANA NI VITENDO, HUNA POINTI YA KUCHANGIA TAMBAA MBELE, UNAWEZA KUPOTEZA MUDA WAKO FACEBOOK, HUKU UKIBADILISHANA PICHA NA DADA YAKO. HAPA NI UWANJA WA GREAT THINKERS TU.:A S angry:
 
nani kasema huo utafiti utakuwa umeufanyia nyumbani kwenu , vijijini na sehemu nyingine watu wanamkubali kama kawa
 
Naijutia kura yangu niliyompa kikwete 2005. Mmmh laiti ningelijua atafanya haya........................
 
Wewe utakua mkatoliki Tafiti imefanyika kwenu, Kanisani, ofisini kwa padri, chuo cha st......., hospitali ya Jimbo, hoteli nyuma ya kanisa , mnada wa harambee ya kuchangia usimikwaji wa ........, kwenye gari lililoingizwa bila kulipiwa ushuru eti ni la kituo cha kulelea yatima., benki ya deci na njiani kuelekea kanisani.
:smile-big:
RAISI WANGU NA WA WATANZANIA WOTE NI DK. KIKWETE
Nina wasiwasi wewe ni mjapani.
 
Duuh!!!! Great thinkers na udini tena...mbona haviendani!!!!! Kama great thinker nilitari utajenga hoja kwa mambo ya kisayansi. Kwangu mimi utafiti binafsi kama wa huyu ndugu usiokuwa na base wala kanuni yoyte kuuamini napata ugumu. Labda tu tumshauri afanye utafiti wake kisayansi kisha atuletee jamvini. kama hawezi atuombe wataalamu wa mambo ya tafiti tumsaidie katika eneo hili kwani UTAFITI WA KISAYANSI NI SAWA NA BALANCED DIET
 
tushindane kwa hoja na sio viroja. Muungwana ni vitendo, huna pointi ya kuchangia tambaa mbele, unaweza kupoteza muda wako facebook, huku ukibadilishana picha na dada yako. Hapa ni uwanja wa great thinkers tu.:a s angry:

nimeipenda hiii!!!!!!! Imekaa vema kabisa
 
Wewe utakua mkatoliki Tafiti imefanyika kwenu, Kanisani, ofisini kwa padri, chuo cha st......., hospitali ya Jimbo, hoteli nyuma ya kanisa , mnada wa harambee ya kuchangia usimikwaji wa ........, kwenye gari lililoingizwa bila kulipiwa ushuru eti ni la kituo cha kulelea yatima., benki ya deci na njiani kuelekea kanisani.
:smile-big:
RAISI WANGU NA WA WATANZANIA WOTE NI DK. KIKWETE

Mwendawazimu huyu wa wapi???????????????!!!!!!!!!!!!!!!! Nani alikuambia kuna Udini Tanzania???
 
Wewe utakua mkatoliki Tafiti imefanyika kwenu, Kanisani, ofisini kwa padri, chuo cha st......., hospitali ya Jimbo, hoteli nyuma ya kanisa , mnada wa harambee ya kuchangia usimikwaji wa ........, kwenye gari lililoingizwa bila kulipiwa ushuru eti ni la kituo cha kulelea yatima., benki ya deci na njiani kuelekea kanisani.
:smile-big:
RAISI WANGU NA WA WATANZANIA WOTE NI DK. KIKWETE

Hapo kwenye red ni uongo mtupu, nikikufuatilia vizuri wewe ndiye uliyejaa hulka ya udini,unataka kuzusha tena kama jk alivyokuwa ana haha wakati wa kampeni, wazushi ninyi na huyo rais wako!!!!!!!!!!!!
 
TUSHINDANE KWA HOJA NA SIO VIROJA. MUUNGWANA NI VITENDO, HUNA POINTI YA KUCHANGIA TAMBAA MBELE, UNAWEZA KUPOTEZA MUDA WAKO FACEBOOK, HUKU UKIBADILISHANA PICHA NA DADA YAKO. HAPA NI UWANJA WA GREAT THINKERS TU.:A S angry:

mimi ni zaidi ya GT, Thread yenye tafiti za uwongo na uzandiki kama hiyo inajibiwa kwa kusoma akili aliyonayo mwanzilishi na si kile alichokiandika! hivyo nimejibu upande wa chuki zake binafsi alizonazo kwa Mh. Rais. NAMPENDA RAISI WANGU NA WA WATANZANIA WOTE DK. JK
 
Kamuulize mjomba wake Jaji Mstaafu Makame kwa kufoji na kutafuta namba waliyoitaja SYNOVATE (61%) aliitoa wapi?
 
Wewe utakua mkatoliki Tafiti imefanyika kwenu, Kanisani, ofisini kwa padri, chuo cha st......., hospitali ya Jimbo, hoteli nyuma ya kanisa , mnada wa harambee ya kuchangia usimikwaji wa ........, kwenye gari lililoingizwa bila kulipiwa ushuru eti ni la kituo cha kulelea yatima., benki ya deci na njiani kuelekea kanisani.
:smile-big:
RAISI WANGU NA WA WATANZANIA WOTE NI DK. KIKWETE

***** Mtozeni!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom