Asilimia 98% bado kuna watu wanawaamini binadamu

UVIKO

JF-Expert Member
Jun 14, 2021
294
362
Wakuu habari za mda huu natumaini tupo salama Sana katika kutekeleza majukumu um ya hapa na pale.Dunia ni duara ina mengi tusioyajua kuhusu Sisi viumbe ambao ni binadamu .Binadamu anaishi kulingana na mazingira yafuatayo yametokea Kwa sababu bado watu walio wengi wanawamini kuwa binadamu ni binadam kama wewe lakini yafuatayo yametokea Kwa sababu ya ukalibu na MTU na kumshilikisha kila Jambo rafiki au MTU wako WA karibu

1.VIFO=mara nyingi watu huwekewa sumu na watu wa karibu, kwa sababu ya tamaa za kifedha

2.KUWACHISHWA KAZI =marafiki katika maofisi ndyo hutumika au MTU wako WA karibu Kwa kuwa tumejawa na unafiki,kujipendekeza,kutaka urahisi WA Maisha,n.k na Mengineyo mengi

Sasa Kwa mawazo yangu Fanya yafuatayo

1.usimuamini MTU yeyote hata kama ni ndugu labda mama yako mzazi

2.mnaofanya KAZI kwenye maofisi au KAZI yeyote inayohusu mkasanyiko usimuongee mfanyakazi mwenzako au bosi wako

3.ishi Kwa tahadhari kubwa .

NANYI NDUGU ZANGU ONGEEZENI
 
Screenshot_20211102-173854.jpg
 
Usiamini mtu sehemu za kazi wala kufuatilia mtu piga kazi then SEPA hutokuja pata kesi za ovyo ng'o
Mara mtu anahoji fulani kapata ili wivu tu hata mtu akipata ka per diem ka kwenda mkoani wengine wanahoji
 
Shetani ni watu wakiwa katika roho maana hujui mipango iliyo ndani yao na sisi tunahangaika kupambana na hewa tukiita shetani wakati shetani ni mtu katika ulimwengu wa roho iliyondani yake, hivyo unatakiwa kujiamini mwenyewe na kupangua mipango mibaya inayosukwa juu yako na mtu yeyote.
 
Bro wangu binamu alinidhulumu 16,000 tu,mwaka wa tatu Sasa,alinikopa mpaka leo ndo,Bob mazishi Tena.
Nilikuaga na wife Fulani,nilishaachana nae,aliniibia 70,000 na baadae 90,000 Tena mkw kabisa.
Binadamu,full dhulumat,mamamaeeeeeee zao
 
Back
Top Bottom