Asilimia 90 ya Wabunge wanaochukua fomu za kugombea hawana Kadi za kupigia kura

Joyce joyce

JF-Expert Member
May 23, 2020
457
1,000
Wakuu hivi mnajua kuwa hawa watia nia wa Ubunge karibu wote hawana Kadi za kupigia Kura? Haya Kama mnakataa muulize Steven Nyerere akawaoneshe, Au muulize kitila Mkumbo Au mama Salma Kikwete

Kadi za kupigia kura wanazo ila sio za maeneo hayo. Maana yake nikuwa wakipitishwa na Ccm, watapunguza kura za Ccm maana hawataruhusiwa kupiga huko, ukiangalia mfano kitila mkumbo alikuwa na nia ya kugombea kule Singida ila kabadili gia angani baada ya Mwigulu kutudishwa zizini.

Hivyo Wakati Wa uandikishaji wapiga kura hakujiandikisha Ubungo, huyo nimemtolea tu mfano, pia Makonda hakuwa na nia ya kugombea Jimbo la Dk Ndugulile maana yake nikuwa huko Nyuma hakuwa na wazo la kugombea huko ila baada ya ndugulile kuondolewa zizini, ndio Anataka kuitumia Kama fursa, maaana yake nikuwa hatapiga kura ya Diwali na ya ubunge

Wakuu hao ni mfano tu nimewatolea na ukweli ndio huo, hiii inaonesha kuwa wapiga kura hawako makini kwenye kuchagua Au mtu kuchagulika ni maaamuzi ya kikundi Fulani Au mtu Fulani maaana Kama mtu mwenyewe hatajipigia kura iweje Mimi nimpigie?

Yani aende bungeni kupata mshahara we 12m pasipo hata yeye mwenyewe kulima hata jembe moja tu? Hiii haikubaliki watu wanaenda kuomba kura kwa wengne Wakati hata wao wenyewe hawatajipigia
 

masare

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
442
500
Soma katiba vizuri raia yoyote wa Jamhuri ya Muungano anaruhusiwa kugombea popote ubunge ilimradi awe anajua kusoma na kuandika
 

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
2,203
2,000
Wakuu hivi mnajua kuwa hawa watia nia wa ubunge karibu wote hawana Kadi za kupigia Kura? Haya Kama mnakataa muulize Steven Nyerere akawaoneshe, Au muulize kitila mkumbo Au mama Salma kikwete

Kadi za kupigia kura wanazo ila sio za maeneo hayo, maaana yake nikuwa wakipitishwa na Ccm, watapunguza kura za Ccm maaana hawataruhusiwa kupiga huko, ukiangalia mfano kitila mkumbo alikuwa na Nia ya kugombea kule Singida ila kabadili gia angani baada ya mwigulu kutudishwa zizini hivyo Wakati Wa uandikoshaji wapiga kura hakujiandikisha Ubungo, huyo nimemtolea tu mfano, pia makonda hakuwa na nia ya kugombea Jimbo la Dk ndugulile maana yake nikuwa huko Nyuma hakuwa na wazo la kugombea huko ila baada ya ndugulile kuondolewa zizini, ndio Anataka kuitumia Kama fursa, maaana yake nikuwa hatapiga kura ya Diwali na ya ubunge

Wakuu hao ni mfano tu nimewatolea na ukweli ndio huo, hiii inaonesha kuwa wapiga kura hawako makini kwenye kuchagua Au mtu kuchagulika ni maaamuzi ya kikundi Fulani Au mtu Fulani maaana Kama mtu mwenyewe hatajipigia kura iweje Mimi nimpigie? Yani aende bungeni kupata mshahara we 12m pasipo hata yeye mwenyewe kulima hata jembe moja tu? Hiii haikubaliki watu wanaenda kuomba kura kwa wengne Wakati hata wao wenyewe hawatajipigia
 

Attachments

  • File size
    1 MB
    Views
    0

Mayala masuka

JF-Expert Member
Jan 22, 2014
349
1,000
Hyo mbona kawaida tu, rejea 2015 waliojiandikisha walikuwa 23Million kidogo, waliopiga kura 15Million, hapo bado kuna wale hawakuwa na vitambulisho .
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom