Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,522
- 24,010
Nmekuwa nikiliangalia suala Waziri aliyetenguliwa ktk nafas yake kwa umakini zaidi. Nikajiuliza Je ni Kitwanga pekee mlevi? Nikapata list ya wabunge kadhaa na mawaziri ambao wamekuwa wakijibu kilevi na kutoa hoja kilevi.
Nikajiuliza anayesema itolewe sanamu ya askari pale posta iwekwe ya Diamond huyu hakuwa amekunywa kweli? Maana katika hali ya kawaida hamna mtu anayeweza kuongea maneno hayo.
Nikajiuliza mtu anayesema kuwa wanawake waliteuliwa nafasi za ubunge kwa vitu maalum huyu hakuwa amelewa kitu?maana wanaoteuliwa kwa nafas hii wapo kila chama. Na je kwa nini asingekuwa mwema kuwataja ili wasionekane wote wamepta kwa style hiyo?
Nikawaza hivi mbunge anayejisikia uchungu na kutaka mpaka kulia kwa sabab hatak bunge lioneshwe live huyu alikula ,alivuta au alikunywa nini? Itakuwa alilewa katika hali ya kawaida huwezi nena maneno kama hayo.
Nadhan kuingia umelewa bungeni ihalalishwe tu na pengine kuwe na grocery mle ndani wakat kikao kinaendelea watu wawe wanapata tu kinywaji huku bunge likiendelea.
Nawe taja wabunge na mawaziri walevi.